Monday, November 29, 2010

Nyumbani ni nyumbani...


Nadhani wote tumeianza Jumatatu vizuri, binafsi nipo salama na siku yangu imeanza vizuri na ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunilinda na nimeiona siku ya leo.

9 comments:

  1. Kweli nyumbani ni nyumbani, na kumbukumbu zetu zinatuama katika taswira za umasikini...nembo , alama, na ...lakini wanasema nyumbani ni nyumabani hata kama ni pangoni!

    ReplyDelete
  2. ndani ya nyumba ya paa la nyasi si joto la kutisha wa baridi ya kutisha vipenyavyo. kuna raha yake hasa ikiwa woote katika kijiji mmeezeka kwa namna hiyo hivyo hamna wa kumuonea wivu ama gere mtu mwingine.

    ReplyDelete
  3. Kweli tupu Dada Yasinta. Kama haivuji hata mvua ikinyesha kimyaaaa!!!

    ReplyDelete
  4. Hata kuweje, kwenu ni kwenu tuuu...hakuna kuona aibu!

    ReplyDelete
  5. kweli Nyumbani ni nyumbani,pawe baya au pazuri ni kwetu tuu na vyema tukapatunza.

    ReplyDelete
  6. Nyumbani hapo hukoo Namatutwe, Masasi Ntwala!!! Karibuni tule samaki nchanga!!!

    ReplyDelete
  7. NYUMBANI ni NYUMBANI lakini hiyo nyumba kwenye picha siipendi ....

    :-(

    ReplyDelete
  8. Napenda sana hzi nyumba zinaleta utamaduni wetu halisi, lkn na wasi wasi ipo sku zitapotea kabisa yaani

    ReplyDelete
  9. Umenikumbusha Mbali Sana Yasinta.. nitakupa stori kamili kwenye blog yangu hivi karibuni.. tulia!

    ReplyDelete