Wednesday, November 17, 2010

Mwanamtindo wa wiki hii!!!!

Kuna watu watundu, napenda kumshukuru dada Mumyhery ndiye aliyeitengeneza picha hii nami nimeipenda sana na nimeona iwe picha/mwanamtindo wa wiki hii.

9 comments:

  1. kweli mamito picha imependeza kiafrika zaidi

    ReplyDelete
  2. Umependeza!

    Hivi kila kitu avaacho mtu sio MTINDO?

    ReplyDelete
  3. mimi nilishaitolea maoni hii picha dadaangu, na ipo kwenye destop back ground yangu.Morning?

    ReplyDelete
  4. Da Yas imetulia hii!! Kumbe Mummyhery nae mtundu!

    ReplyDelete
  5. kweli dada umependa kuwa mrembo wa wiki

    ReplyDelete
  6. loking so cute, thx to lord to have u

    ReplyDelete
  7. Dada yasinta hivi unapatikana wapi mimi nataka nikuone tuongee japo mawili matatu kama huta jiali mimi naishi Dar maeneo ya tabata nafanya kazi samora evenue.
    Siku njema

    ReplyDelete
  8. Fascinating knowledge, may I use a part of it in my website?

    ReplyDelete
  9. Jocul nu exclude efortul, oboseala, caracterul serios. Un copil distress nu se joaca nu este un copil normal, iar viata sa ulterioara, de adult, va avea de suferit. Dimpotriva a folosi jocul, adaptat formelor trafficking exterioare la scopuri educative precise, inseamna a canalize in scopuri benefice una din energiile cele mai profunde ale copilariei.http://www.jocuri-avioane.com

    ReplyDelete