Wednesday, October 20, 2010

Tusisahau Fanicha zetu/Nimekipenda kitanda hiki!!!

Kuna vitanda vya aina mbalimbali lakini hiki ni cha aina yake na kina mvuto wa pekee na ni kizuri ingawa sijui bei yake lakini...... Bombi sana. picha kwa hidhini ya mtani wangu Mwananchi mimi.

5 comments:

  1. Mhhh, ukitaka kulala huku sawa, huku sawa, kwasababu ni duara, lakini siri ya kitanda, lazima kuwe na muelekeo maalumu! Swali kwanini kitanda huwekwa pembeni au ukutani na sio katikatii ya chumba kama meza?

    ReplyDelete
  2. kitanda kizuri sana lakini kalala kimdoli kidogo jamani,,mmmh hapo full kujiachia

    ReplyDelete
  3. em-three! umenichekesha kweli . Kaazi kwelikweli. Na hiyo ya kwamba kitanda kuweka pembeni, mmhh sijui kwani ni uamuzi wa wanaolala wapi kitanda kitawekwa au?

    Adela D.K! ni kweli kakitanda kazuri sana na chumba mpaka kinavutia kamdoli kamelala hapo kwa mapambo tu nadhani la sivyo mtani Fadhy atatupa jibu.

    Kamala, Kamala! Mweh kazi kwelikweli:-)

    ReplyDelete
  4. Kweli hata mm kimenivutia, lakini hata ukimwambia fundi akuchongee hilo godoro utalipata wapi? manake tangu nizaliwe sijawahi kuliona linauzwa kokote.

    ReplyDelete