Juma Nature ni msanii anayetisha...japo huwa ananyimwa tuzo za Tanzania, sababu ya chuki za watu wenye tuzo nk, ila ndio anaongoza kwa kupendwa Tanzania na mziki wake mzuri.
Pia hana roho mbaya ya kuwabania wasanii wengine hasa kuwatoa kupitia kolabo aka featuring
Unaweza kuona wimbo wake wa Mugambo alioimba na Lil Kim Jukwaani hapa http://www.youtube.com/watch?v=9P4mazemkTs
Nimeburudika vya kutosha nikiwa hapa Nairobi nikisubiri usafiri wa kwenda London. Big up
ReplyDeleteNdio , wimbo unakuna vyema kipele!
ReplyDeleteCHIB safari njema!
Juma nature Hutu...jam a kwa kweli kipaji a nacho!Tuko pamoja:)
ReplyDeleteNami nimeburudika, inagawaje computer yangu haichezi vizuri. Chib safari njema!
ReplyDeleteJuma Nature ni msanii anayetisha...japo huwa ananyimwa tuzo za Tanzania, sababu ya chuki za watu wenye tuzo nk, ila ndio anaongoza kwa kupendwa Tanzania na mziki wake mzuri.
ReplyDeletePia hana roho mbaya ya kuwabania wasanii wengine hasa kuwatoa kupitia kolabo aka featuring
Unaweza kuona wimbo wake wa Mugambo alioimba na Lil Kim Jukwaani hapa http://www.youtube.com/watch?v=9P4mazemkTs