Friday, October 8, 2010

Ngoja Ijumaa ya leo tuache ugimbi na tule matunda!!


Kula matunda uwe na afya bora poa kujikinga na magonjwa!! IJUMAA NJEMA SANA KWA WOTE!!

6 comments:

  1. kwani ugimbi na matunda haviendani? mchana matunda kwa wingi, jioni ze nanihii... inaanzia na 'L'

    uwe na wakati murua yasinta ngonyani

    ReplyDelete
  2. yasinta ne naluambano na mlongo wako niifunili kweli blog yako. yani wangoni tiwi kunani kabisa

    uendeleya mewawa mlongo wangu

    agatha luambano
    morogorogo

    ReplyDelete
  3. ijumaa njema kwako pia yasinta.
    matunda sio lazima daktari ashauri bora umesisitiza.

    ReplyDelete
  4. Ijumaa njema Yasinta!

    Naungana na John katika kuangalia uwezekano wa kuwa inawezekana ukachangia kodi kwa kusapoti Baa na Makampuni ya pombe kwa kunywa na kula Matunda pia kama wewe siku yako ina ratiba na unajua kufuata ratiba za maakuli mpaka ni saa ngapi ulale ili kupata usingizi wa kutosha kwa Afya yako.:-(

    ReplyDelete
  5. embe dodo halafu limeivia mtini mmhhuu,

    Yasinta ijumaa njema kwako na familia kwa ujumla

    ReplyDelete