Friday, October 15, 2010

Mnyasa mimi kwa samaki hamnitoi kabisa....

Samaki jamini wana utamu wake
Wakati tunakula au labda kumwangalia tu huyu samaki ngoja tusikilize na wimbo huu hapa chini:-)
Nimeusikiliza wimbo huu na nimetafakari kwa nini pole samaki? Au ndo wanataka sisi wapenda samaki tuache kuwala samaki. Mmmmhhh! kwa mimi itakuwa kazi sana kuacha kula SAMAKI!! Haya jamani:- MWISHO WA JUMAMWEMA NA IJUMAA NJEMA NA KULENI SANA SAMAKI!!!

6 comments:

  1. Poleeeee samaki poleeee!!! Hahaha! Samaki kakaa vizuri kweli huyo yaani mmh....ngoja niache kumeza mate ila hapo kwenye ugali, kwangu ni mtihani mkubwa...hehe

    ReplyDelete
  2. Samaki poa ila shombo la DUH!:-(

    Katika huo wimbo lakini azungumzwaye WAFIKIRI ni samaki kama aliye pichani?

    ReplyDelete
  3. Mhh, nyimbo nyingine zaweza kulenga samaki kumbe zalenga mtu...lakini huyo hapo ni samaki na dada yetu anatutamanisha...

    ReplyDelete
  4. jamani umenitamanisha my dia napenda sana samaki

    ReplyDelete
  5. Nyimbo za Taarabu achana nazo kabisa, huwa wana maanisha mambo mangine kabisa hao ndo zao. Usifikiri wanamwimba samaki hapo!

    ReplyDelete
  6. wimbo na kitoweo havifanani/haviendani kabisaaa. hao wanamuziki wana lao jambo. mie simooo

    ReplyDelete