Tuesday, October 12, 2010

Hongera kwa siku ya kuzaliwa kwenu Dada Subi na Kaka Chib!!

Kaka Chib
Dada Subi
Blog ya Maisha na Mafanikio inapenda kuwatakieni siku hii ya kumbukumbu yenu ya kuzaliwa kwenu. Na pia muwe na Baraka tele na maisha mema na pia mafanikio mema. HONGERENI SANA.!!!!!


13 comments:

  1. ni coincidence ama vipi madaktari kuzaliwa tarehe moja. ama kwa hakika 'ongeleni' sana wajameni. mungu akunyosheeni mapito muendelee kuwepo miaka kibao

    ReplyDelete
  2. ni coincidence ama vipi madaktari kuzaliwa tarehe moja. ama kwa hakika 'ongeleni' sana wajameni. mungu akunyosheeni mapito muendelee kuwepo miaka kibao

    ReplyDelete
  3. Hongereni sana Madaktari wetu, Mzidi kubarikiwa na Mola siku zote.

    ReplyDelete
  4. kzaliwa siku moja ilikuwa siri na yawezekana wana siri nyingine nzito zaidi tusizozijua

    una wasi wasi?? kama vile kusomea chuo kimoja, kukaa dawati moja na sio kitanda kimoja

    ReplyDelete
  5. mwe, shukrani kwa salam marafiki zangu.
    Asante Yasinta kwa kutukumbuka mimi na Chib siku yetu kuu ya leo.
    Pacha wangu anazurura huko mitaa ya Nu Yok sijui daladala gani yumo saa hii? nhe he.
    Wajameni, siri ya kuzaliwa pamoja tumeifahamu baadaye sana kupitia kule UsoKitabu ambapo mwanzoni ilikuwa shurti kuandika tarehe zako za kuzaliwa, ndipo niligundua mapacha wangu ni Chib na wengine wawili akiwemo Jhiko Man.

    Kwa niaba ya wote, shukrani.

    Kamala wewe, nhe he.

    ReplyDelete
  6. Hongereni waponyaji wetu. Mungu Azidi kuwabariki!!!

    ReplyDelete
  7. dada nakala zako nimezipenda sana

    ReplyDelete
  8. Hongereni sana dada Subi na kaka Chib,Mungu na walinde.

    ReplyDelete
  9. Nami "nadandia" hapa hapa. Yaani sijui ni hawa kuwa na kimbelembele ama kutojua NYOTA WAJAO maana wangesubiri siku moja tuuuu, wange-match na mwana mwana Paulina.
    Labda Pau wangu ndio alikuwa mzembe.
    Anywaaaaaaaaaaay.
    Happy EARTHDAY kwenu nyote

    ReplyDelete
  10. Natumai nami sijachelewa kutoa hongera zangu, niliadimika kidogo kwa sababu ya dharura ya maradhi.
    Nawatakia kila-laheri muwe na maisha marefu ya afya tele, nyote Sub na Chib...
    Naona viishilio vyenu vinafanana..

    ReplyDelete
  11. Hata kama siku zimepita, jamani shukrani sana kwa heri na baraka.
    @Kamala, hakuna sababu ya donge, hata weee una pacha wengi tu, wengine ni magaidi, vichaa, wezi, mafisadi na wagoni. Pia wapo wema tu......
    @ Subi, ha ha haa,ni kweli nyuu yok imenimeza, hata hivyo nipo shwari na makini sana.

    ReplyDelete