Tuesday, October 26, 2010

Hawa ni ndio wacheza mpira watarajiwa!!

Hapa ni Erik mwaka huu mwezi wa nane anavyoufurahia mpira.
Na hapa ni shangazi zangu nao hawapo nyuma. Hawa ndio wale wanawake wa shoka Picha kutoka hapa

Na hapa nadhani wote mnakumbuka huu wimbo wa dada Shakira ebu sikiliza:-)

7 comments:

  1. Wewe unaonaje? mie naona wanawakilisha kwote kwote.

    ReplyDelete
  2. hahahahaha nimewapenda sana my dia hawa ni twiga junior watakuja kuwa na kipaji sana

    ReplyDelete
  3. Huku bongo viwanja vyote vya watoto tumeuza na vimejengwa au kugeuzwa vituo vya mafuta, watoto wanachezea mpira na michezo mingine majumbani au barabarani hasa kwetu uswazi

    ReplyDelete
  4. Ha ha ha ha! Mbali na mambo mengine michezo kama hii ni muhimu sana kwa afya ya watoto. Hili ni jambo la muhimu hasa wakati huu ambapo watoto wanashinda wakitazama televisheni na kucheza michezo legezi ya kwenye kompyuta. Tuendelee kuwakazania!

    ReplyDelete