Nimekuwa muda mrefu nikijiuliza hivi hili neno MPENZI lina maana gani? na leo
nimeona ni afadhali nipate msaada. Maana palipo na wengi pana mengi pia.
SWALI :- kuitana mpenzi, nakupenda nk unaweza kumwita nani, yoyote, umpendaye au mumeo/mpenzi, mkeo/mpenzi rafiki/mpenzi wako?
...labda utafsiri hilo neno kwa kimombo ndo litaeleweka vema kwa kuwa kwa kiswahili huwa inamaanisha 'yule mnayeshea nae shuka nyakati fulani', ama?
ReplyDeletelakini kwa wale wanaotumia kimombo ni neno la kawaida ambalo unaweza kulitumia hata kwa kumuita mama yako!!
kwanza tunashukuru kwa kututumia mada nzuri ambayo inaweza katusaidia katika maisha yetu ya ndoa na maisha ya wale ambao wanatarajia kuingia kwenye ndoa.
ReplyDeleteMPENZI JINA AMBALO MAALUM KWA MTU UMPENDAYE ANAWEZA KUWA DADA, KAKA, MAMA AU MUMEO .MIMI NDIO UFIKIRI WANGU SIDHANI NENE MPENZI KAMA LINAMIPAKA .
Neno mpenzi halina mipaka na neno mapenzi pia halina mipak mtu yyt waweza muonesha mapeni husika km ni mtt wako kk ako mdogo ako dd ako ko mpenzi na mapenzi hayan mipak
ReplyDeletenahc kam bd haijapatikana maana halis ya mapenz
Delete