Hapa ni mrembo/mwanamtindo dada Nuru
Hapa ni mwnadada mwingine tena Yasinta au wengine wanamwita Kapulya.
Hapa ni mwnadada mwingine tena Yasinta au wengine wanamwita Kapulya.
Ukiangalia vizuri katika picha hizi kuna mfananisho fulani kati ya wanadada hawa. Je ni nini ambacho kinawafanya kufanana au sio kufanana?
A little seriousness would be greatly appreciated. Na kama hakuna cha kubandika ni bora tu kuacha! Unatuharibia blogu yetu sasa.
ReplyDeleteWarembo wengi tu Bongo na wazuri lakini kitu kimoja wanajichubua, kuchoma manywele kupita kiasi mpaka wanachukiza, sasa hivi waafrika tumekua hatupendi rangi yetu.
ReplyDelete:-)
ReplyDeleteMhh, hiyo sio siri Tanzania tuna warembo wengi sana, na kama warembo hawo wangewezeshwa, basi tungeshika nafasi ya kwanza.
ReplyDeleteDada Yasinta Mhhh, hebu jaribu kuogombea urembo, unaweza ukashika namba!
Wote ni wana-Sweden....
ReplyDeleteMdau wakwanza hapo juu ngoja nikujibu,kwanza kabisa there's no space for hater's here.....sasa kilichokuudhi hapo ni nini? ni hizo picha za hao kinadada au?
ReplyDeleteWewe ndio unatuharibia blog yetu....mkiambiwa hater's au waosha vinywa mnaanza kulalamika oooh! watu hamtaki kuambiwa ukweli....ukweli gani huo?
Kwanza hujiamini kama unajiamini kwanini umeficha ID yako? eti kama hakuna cha kubandika ni bora kuacha......kwani umelazimishwa kuingia kusoma hii blog? wewe kama unaona hajapenda sign off....kafungue na wewe blog yako utajuze ili tuitembee kama unaona ni kazi rahisi, ashia zako wivu tu unakusumbua.
marcy Arusha.
these "girls" gotta gwang! tunahitaji kuwa na miss tanzania ughaibuni, au?
ReplyDeleteWarembo mmependeza sana,sana The light kama kawaida yake,Yasinta nawe mmmh! si haba wa Tz ni wazuri bwana.
ReplyDeleteMmependeza sana...hongera zangu.
ReplyDeletewamekaa stly ya kukakaa mimi naona wanafanana alufu pia wote wamevaa blauzi za nyeupe .mimim ni hayo tu!!
ReplyDeleteYawezekana ni ndg wa karibu au pacha wako, mnafanana haswa
ReplyDeleteama kweli raha haiji bila kuitafuta. Hongera kapulya, unyambili kweliiiii
ReplyDeleteNachukua nafasi hii na kuwashukuruni wote. maisha na Mafaniki sio kitu bila ninyi. Ahsanteni. Daima pamoja..
ReplyDelete