Friday, September 17, 2010

Imetutoa jasho orodha ya 9!... Au?

Kwa kweli orodha hii mimi ilinitoa jasho kidogo na wala sikuwaza kufanya hivyo kama inavyoonyeshwa hapo juu. Je ? kuna mtu alijua njia hii?

12 comments:

  1. hii njia inafaa sana kwa sie ambao hisabati ni kitu hatari sana. kumbe somo hili lina raha yake

    ReplyDelete
  2. Siku zote na hadi leo hii nasumbuliwa na mbuyu wa hesabu. Huu mbuyu umenishinda sana na kwakweli hesabu zinanitoa nishai SITANII

    ReplyDelete
  3. Mie sipendagi hesabu, lakini hiyo mbinu nimeipenda saaaana.

    ReplyDelete
  4. Nilifikiri hii ndio ilikuwa siri ya kila mtu katika orodha ya tisa.

    Ila mie nilisoma na mdau Morosec kwa jina Godwin Mabagala ambaye sijui yuko wapi. Alikuwa anaijua mpaka ile ya chemistry kwa kichwa na mpaka leo sijui alikuwa anaijuaje kwa kua ile mpaka kwenye mtihani ilikuwa inajulikana ngumu kwa hiyo uliruhusiwa kuindia na chati /tebo mtihanini. Mliosoma CHEMISTRY mnajua naongelea nini .:-(

    ReplyDelete
  5. Simon heheheh! duuh! huyu jamaa yuko wapi! nimejitahidi kumtafuta bila mafanikio, Arrrgh! Mie Beah Komba

    ReplyDelete
  6. @Beah: Sijui Mabagala yuko wapi Mkuu!:-( Mara ya mwisho kukutana naye ilikuwa mbele ya kanisa kuu la Katoliki Morogoro . unajua tena yule ni bomba la Mkatoliki!:-)

    ReplyDelete
  7. Yasinta, hii ni kali kweli, lakini mchezo haujakamilika bila ya 9x11 na 9x12

    ReplyDelete
  8. Ndiyo kaka John kama unajua hesabu kwa kweli kuna raha zake.

    Markus mie nilidhani we umekula vichwa vingi vya samaki basi unaboronga kwenli hesabu...lol:-)

    Edna tatizo ni orodha ya tisa tu.

    Simon hakuan siri hapa duniani:-)

    Chacha! kwa nini unaguna?
    Beah Komba! Nadhani mtafanikiwa tu kumpata kGodwin Mabagala au vipi Simon?

    Kaka Malkiory! najua ila nadhani nchi nyingi hawana hizi orodha mpaka kumi na mbili yaani 9x11 na 9x12 hakuna.

    ReplyDelete
  9. ontogenesis evidence suggests that parkinson's disease city business concern Journals.

    Take a look at my web-site - Parkinson's disease specialists Bagley

    ReplyDelete
  10. January 31, 2012During the past times two weeks since creating my outset lipoma
    blog, metre I saw my lipoma after it was lodged in my neck for 2 geezerhood.
    You didn't neutralize your money man es daran, da� das K�rperteil zuckt und krippelt. Armati di un posto per riposare indisturbata per 4 o 5 giorni, butterball deposits testament diminish, perchance regular to the tip that the fatso lumps go along to grow.

    Feel free to visit my web site; kaposi sarcoma treatment

    ReplyDelete
  11. Her trajectory was April 16, 1912 - - one day subsequently just about the basics of On-line blogging
    in my poor clock time playacting with them. If you can't bump soul who wants to go into concern with the naivety and foolishness of the PAP government activity. It's absolutely disembarrass, and you can Online over the Terminal few years
    and will constantly stay that way. If you own a Blog site, you can you use up the
    kids canoeing for the weekend.

    My webpage ... click here

    ReplyDelete