miaka yaenda kasi mno yaani leo ni miaka miwili blog hii ya CHANGAMOTO YETU tangu ianze kublogu. Blog ya MAISHA NA MAFANIKIO yakutakia yote utakayotenda yawe na mafanikio mema. Hongera sana na uwepo wako unathaminiwa sana. zaidi ingia hapa utapata mengi zaidi.
hongera mwee!
ReplyDeletelibeneke kama kawa!
'ongela! miaka miwili si hapa.
ReplyDeleteKazi nzuri na hongera!
ReplyDeleteHongera Mkuu!
ReplyDeleteNikisema hongera sitojitendea haki kwani watu bado tuko gizani,ulipo fika ni mwanzo wa safari tu,safari bado ni ndefu.
ReplyDeletewale wanaokupa hongera sijui wanamaana gani.
Sellasi.
Hilo pozi duh! Hayo macho dah! Huo mdomo mh! Mpaka mwili wote umenisisimka!
ReplyDeleteHongera na kila la heri.
ReplyDeleteHongera sana kwani blog kutimiza miaka miwili sio kazi rahisi.
ReplyDeleteWapo walioanza kwa kishindo lakini waliishia njiani. HONGERA SANA!!
Hongera sana, uzidi kutoa changamoto
ReplyDeletemhmh, aika kachanganyikiwa!
ReplyDeleteHongera sana Kaka, Mungu azidi kukusaidia uzidi kutupa changamoto zaidi. Amen.
ReplyDeleteNapenda kuchukua nafasi hii kwa kuwashukuruni wote kwa kuwa pamoja nami kwa kuipongeza blog ya Changamoto yetu. Kwani ni kweli kabisa inatuletea changamoto kwelikweli na tuna haki kabisa ya kujivuna kwa uwepo wa blog hii pia Anayeitunza. Na Kumbukeni sisi sote ni ndugu ni watoto wa baba mmoja.
ReplyDeleteBlog nzuri!
ReplyDeleteRDCTube anawatakia muendeleye vizuri