Hapo mimi nilichoambulia ni "...amafuta!", kwingine kote nimepita bila kuona ndani. Ila nimebahatika kwa upesi sana, kuuona mkono wa Mganga ulipotua kwa Mpakwa. Maeneo hayo sio mabaya mtu kuyatembelea japo kwa mkono.
This Is Bond=James Bond, NO I mean Black=Blackmannen
Hiyo kali utafanya watu wengine wakimbilie huko hata kama hwana wito. Hapo kuna ujumbe uliojificha, hata kama lugh haieleweki. Nakumbuka sana hadithi moja ya madada wa watu walienda kusomea mambo hayo ya dini , na kulikuwa na kiwembe mmoja alijiunga huko akiwa hana nia sana ya imani hiyo, akawa kila ikifika usiku anawapitia madada wa watu akijifanya katumwa na Roho, na akina dada wa watu kwa vile walikuwa ni wageni wakawa wanakubali, wakijua ndio mambo ya kiroho. Alipogundula tabia yake hiyo mbovu akawa keshafanya uharibifu mkubwa. Mambo hayoo yapo katika jamii, yakujifanya wewe ni mtu fulani ili kupata kitu fulani, lakini sio kweli!
Hapa tunaomba msaada kwa Kamala kwa hiyo Lugha iliyotumika kwa Upako....LOL
ReplyDeleteHapo mimi nilichoambulia ni "...amafuta!", kwingine kote nimepita bila kuona ndani. Ila nimebahatika kwa upesi sana, kuuona mkono wa Mganga ulipotua kwa Mpakwa. Maeneo hayo sio mabaya mtu kuyatembelea japo kwa mkono.
ReplyDeleteThis Is Bond=James Bond, NO I mean Black=Blackmannen
Mmmh! hii nayo kali. Kabla hatujaropoka bora tupate tafsiri yake. Je hicho ni Kihaya au Kirundi?
ReplyDeleteHiyo kali utafanya watu wengine wakimbilie huko hata kama hwana wito. Hapo kuna ujumbe uliojificha, hata kama lugh haieleweki.
ReplyDeleteNakumbuka sana hadithi moja ya madada wa watu walienda kusomea mambo hayo ya dini , na kulikuwa na kiwembe mmoja alijiunga huko akiwa hana nia sana ya imani hiyo, akawa kila ikifika usiku anawapitia madada wa watu akijifanya katumwa na Roho, na akina dada wa watu kwa vile walikuwa ni wageni wakawa wanakubali, wakijua ndio mambo ya kiroho. Alipogundula tabia yake hiyo mbovu akawa keshafanya uharibifu mkubwa.
Mambo hayoo yapo katika jamii, yakujifanya wewe ni mtu fulani ili kupata kitu fulani, lakini sio kweli!
Ngoja nijaribu:
ReplyDelete"BIBLIA INATUAMBIA KATIKA WAEBRANIA KWAMBA, WATENDA DHAMBI WOTE WAPAKWE MAFUTA"
Angalizo:
Hii ni tafsiri yangu.........
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteMmmmh makubwa nakosa hata la kusema.
ReplyDeletehaya jamani duu ni nimechoka hapa hayo maombezi ni balaaa!!!!!
ReplyDelete