Nipo likizo jamani!!
Nina furaha kuandika waraka huu na kuwataarifu ya kwamba nitakuwa nimeadimika adimika. Katika ulimwengu huu kila mtu anahihitaji mapunziko. Kwa hiyo mama Maisha na Mafanikio amepata liki kikazi na atakuwa likizo akiambatana na familia yake.
Na nimeona ni vema niwaage nitajaribu kupitapita pale nipatapo wasaa. Nawatakieni wote kila la kheri kwa lolotw mtakalotenda na tukutane panapo majaliwa.
TUTAONANA BAADA YA MUDA SI MREFU....KAPULYA aka Yasinta na pia NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA !!!
Nakutakia mapumziko mema wewe pamoja na familia!
ReplyDeletemapumziko mema pamoja na familia yako,mimi nishaanza kukumiss tayari.
ReplyDeleteMapumziko mema na familia kwa jumla,ila tutakumiss sana KAPULYA....LOL
ReplyDeleteMapumziko mema dada Yas. Tunakusubiri kwa hamu na kaa salama huko uliko.
ReplyDeleteLikizo njema
ReplyDeleteLikizo njema Kapulya!
ReplyDeleteLikizo njema pia kwako na familia yako
ReplyDeleteVekesheni njema wewe na familiya, nadhani hutasau kuchukua kamera yako ili uje utuonyeshe mistarehe uliyokuwa ukiitumbua likizoni, tutakumiss sana!
ReplyDeleteThis Is Black=Blackmannen
Likizo njema da Yasinta. Mungu awe nawe daima.
ReplyDeleteTwakutakia mapumziko mema na familia yako. Tunachokuomba usi-over do, ukasahau kurudi mpema hahaha...ni utani tu
ReplyDeleteKila lenye kheri mama wa Maisha na Mafanikio.
ReplyDeleteusisahau kutuletea banzoka
ReplyDeletefurahia likizo yako na twakusubiria hapa hapa kijiweni...!!!
ReplyDeleteKila la kheri!
furahia likizo yako na twakusubiria hapa hapa kijiweni...!!!
ReplyDeleteKila la kheri!
Likizo njema Yasinta, umependeza sana.
ReplyDeleteLIKIZO NJEMA DADA, KARIBU DAR....
ReplyDeleteAsante kwa kutuhabarisha na kutuelimisha. Kwa kweli tutakukosa kwa kipindi uwapo likizo.
ReplyDeleteSafari njema na mapumziko mema, na Mungu akurudishe salama ukiwa na afya tele ya Mwili na Roho.
MUNGU AWE NAWE DAIMA
ReplyDeleteusikose kuludi na hadithi tamu, ne?
ReplyDeletenakutakia kila yalo mema kwenye likizo yako furaha tele kwako na familia kwa ujumla
ReplyDeleteAhsanteni wote kwa kunitakia likizo njema.
ReplyDelete