Friday, June 11, 2010

Picha ya wiki hii:- Je? unamfahamu huyu aliye kwenye picha hii??

Je? hii picha ilipigwa mwaka gani ?
Na napenda kuwatakieni wote Ijumaa njema na tutaonana wakati mwingine!!

12 comments:

  1. huyo ni asinta alipiga mwaka1999

    ReplyDelete
  2. dah! sina miwani hivo siwezi kumuona vizuri!

    ReplyDelete
  3. Picha ni ndogo ila ninahisi ni wewe yasinta, mwenzetu kumbe umefika mbali hivi?

    ReplyDelete
  4. Huyo si Yasinta, ni binti wa Yasinta, Camilla. Picha hiyo inaonekana imepigwa Mwishoni mwa mwaka Jana ama mwanzoni mwa mwaka huu! Picha hiyo imepigwa huko huko Sweden! na Mpigaji wa Picha hiyo ni Yasinta Mwenyewe!

    ReplyDelete
  5. Malihoja lazma umesahau miwani yako...lol!

    ReplyDelete
  6. Sijasahau Da Mija, kweli ukiangalia vizuri picha ile ni ya Camila, Tena imepigwa na mama yake .. na kama Si mama yake imepigwa na Erik (mdogo wake)...! unajua mpiga picha aliinua Camera juu wakati anapiga .. na hali hiyo ilitokea kwasababu ya mzaha wa pozi la mpigwa picha .. pozi ambalo lilimfanya mpiga picha amwangalie zaidi usoni mpigwa picha .. na kujikuta akiinua Camera! na hii hutokea katika mizaha mizaha ya kupiga picha ... au Tuendelee na sisi kumpa Mji, kama Kaka Fadhy? Basi mimi Nampa Litumba ..., Mbinga!

    ReplyDelete
  7. Ijumaa Njema!


    Sioni picha vizuri ingawa nahisi PIKIPIKI kuna kitu ilifaidi ukarimu.:-(

    ReplyDelete
  8. Wote ahsabteni sana Na DaMija HONGERA umepata ndiyo hapo ni mimi mwenyewe picha ilipigwa 1994-1995. Samahani kama picha imekuwa ndogo mno.

    ReplyDelete
  9. Aisee simfahamu but looks so cute like you,anapendeza haswa God bless her.

    ReplyDelete
  10. Aisee, umeonekana mrembo mno, kumbe mwanao amerithi kwako, nilihsi ni yeye lkn nikamwona mkubwa

    ReplyDelete