Tuesday, June 22, 2010

Je? barabara hii itakufikisha wapi??

Barabara hii imenikumbusha mengi sana wakati wa utoto /zamani mtu umechoka una mzigo kichwani na barabara unaiona ndefuuuuuu. Haya karibu ni wapi hapa?

11 comments:

  1. mie napajua ila sisemi kwa vile sina kawaida ya kuwatajia majibu watu wengine. Kila mtu ajijue mwenyewe!!

    ReplyDelete
  2. Hapo ni sehemu fulani hapa duniani, na wala sio Mars kama wengine wanavyofikiri

    ReplyDelete
  3. uyole, mbeya. kule juu ni vilima vya isyonje kuelekea simambwe na uporoto.

    ReplyDelete
  4. Hapo ni Korogwe, kuelekea kona za Msambiazi ili utokee mkomazi......LOL

    ReplyDelete
  5. Bado nafikiri nipo sahihi, maana kila mtu anataja sehemu iliyopo duniani!!!

    ReplyDelete
  6. Kwangu ni giza tu...Nitakupa mji dada Yasinta ili uitajie.

    ReplyDelete
  7. Wote mmekosea.......
    Hapo ni Mkwaja njia ya kuelekea Pangani

    ReplyDelete
  8. mi ndo mwenye matokeo.

    John Mwaipopo ndo kaongoza kwa kupatia jibu la kweli na kupata alama 83%

    Ni kweli ni Uyole na unaitazama milima ya Uporoto lakini siyo Simambwe pale mlimani bali ni Iwalanje.

    Niliipiga picha hiyo nikiwa nimesimama usawa wa kanisa Katoliki Uyole nikiwa naitazama Igawilo.

    Hiyo ni barabara kuu inayokupeleka Tukuyu, Kyela na Malawi.

    Picha imetunguliwa mwezi Aprili 2007.

    Ahsante da Yasinta kwa kunishtua maana nilikuwa sifahamu kinachoendelea humu. Mambo ya weldi kapu aka Zakumi aka vuvuzela.

    ReplyDelete
  9. fadhy ukiwa mwalimu wanafunzi watakukoma. 83 tu!

    hakika mambo ya Kee Naaako!

    ReplyDelete
  10. Naona wote tumepata jibu kuwa ni Uyole. Na kaka John ulibaki kidogo tu kupata 100% kweli mtani Fadhy ni kiboko yaani 83 ty:-) Ahsanteni wengine wote makofi wa wa wa!!

    ReplyDelete