Nimeipenda hii picha na nimeona iwe picha ya wiki hii. Rangi za mavazi ni rangi ambazo nazipendaaaaaaaa sana. Hakika ukijipenda mwenyewe basi na wengine watakupenda!!
Na sasa ngoja tusikiliza kibao hiki ambacho kinawakilisha ujumbe murwaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Sijawahi kumuona huyu mwanamitindo. Je ni mbongo huyu? Kaamua kuwa original na kwakweli kapendeza.
ReplyDeleteKumbe Yasinta na wewe uliifirahia picha hii! Nilipoiona nilicheka sana. Kweli kaka Fadhy ni mwanamitindo.
ReplyDeleteKaka Mfalme ndio ni mbongo humfahamu huyu kweli? Angalia tena na uniambia ni nani? Nina hakika umewahi kumpitia kibarazani kwake.
ReplyDeleteMija yaani nilipoiona tu nikasema hapa tumepata mwanamtindo mpya yaani na nikasema lazima niiweke hapa kwangu.
Picha Murua Hii. Na kibao ni kinono.Asante!
ReplyDeletewaoooooooooooooooooooooooooooooooooo MTANI UMEPNDECHA KWELI KWELI YAANI UMEPENDECHA CHANA CHANA CHANA VIPI NA LILE JANI?????????????????
ReplyDeletewaarabu wapemba wajuana kwa vilemba.... sikudhani mtoko huu wa askofu ungedraw attention kiasi hiki. bado rasta za bandia tumsahau.
ReplyDeleteMkwe umependeza, lakini sasa je na nyama choma tena ndio basi mhuu!!!
ReplyDeleteAwali ya yote nakushukuru sana mtani da Yasinta kwa kunipa nafasi kibarazani kwako. Hakika sina maneno ya kutosha kusema shukrani.
ReplyDeleteMfalme Mrope ahsante sana.
Da Mija nilijaribu lakini nimefurahi kwa appreciations.
Mtakatifu Simon pamoja mkuu.(ila umeondoka bila kuaga)
Mtani Markus we acha tu...kale kajani si ni ya kuweka kwenye chai? Ha haaa haaaaaa
Kaka John nimecheka kweli...siku hizi nanyoa para kabisa(kwetu tunaita ubang'a)
Mama mkwe heshima yako. Nyamachoma zile huwa namchomea bintiyo. Anapokuwa amechoka anafurahi nikichukua nafasi kumwandalia chakula.
Jamani ahsanteni sana. Nimejiona wa ajabu sana kwa upendo wenu.
Upendo daima.
Papaa Fadhy: Sijaondoka. Niko Nairobi moja ya sababu nimstukio kutika kwa hawahawa mabloga hasa wenye uke wameni tuliza kuzidi hat MARALIA.Ila sababu niko nyuma ya shughuliko ni kuugua na pia kuna wakaribu hawahawa ambao unawajua wamenifanya niamini kujichanganya ni nyoko .Nipo Mkuu
ReplyDelete