Friday, April 30, 2010

Usifikiri kuwa na mikono ndio kuweza kila kitu +Angalia Maajabu haya!!

Je ungekuwa mimi au wewe unayeangalia hapa ungeweza/tungeweza. Kujiamnini ni kitu kizuri sana.

2 comments:

  1. Ndio maana sisi wakristo huimba na kusifu 'MWACHENI MUNGU AITWE MUNGU' sababu lile uonalo kwa mtazamo wako kuwa haliwezekani yeye huliwezesha.

    ReplyDelete