Shikamoo dada Yasinta,
Kwa niaba ya timu nzima ya Vijana FM nakuomba unisaidie kuitangaza tovuti/blog mpya ya www.vijanafm.com / www.vijanafm.blogspot.com.
Natanguliza shukrani za dhati na unakaribishwa kutoa maoni. Kama unaona kuna sehemu tunapaswa kuboresha zaidi usisite kuwasiliana nami.
Steven.
Kwa niaba ya Vijana FM.
Hawa ni Vijana wanaoandika mambo meengi chanya kuihusu jamii.
ReplyDeleteNaomba tuungane nao kwa hakika
Blessings
Shukrani Mzee kwa support yako!
ReplyDeletenami ngoja niwakaribisha sana katika ulimwengu huu wa kublog.
ReplyDeletekaribuni wajameni katika ulimwengu wa kuharishana
ReplyDelete