Wednesday, April 21, 2010

Ngoja leo tuangalie baadhi ya Vitendawili/Mafumbo = Gåtor

KISWAHILI:- 1. Ni kitu gani chaweza/kinaweza kutembea lakini sio kukimbia?

KISWIDI:- Vad kan gå men inte springa?

KISWAHILI:- 2. Wakati tunapokuwa nje na miguu yetu tunajion kweli tupo ndani. Ni nini hicho?

KISWIDI;. Först när man är ute med fötterna är man riktigt inne. Vad är det?

KISWAHILI:- 3. Ni nini kinakuwa kikubwa na kikubwa zaidi wakati unataka kitoke/kukitoa?

KISWIDI:- Vad är det som blir större och större ju mer man ta bort?

KISWAHILI:- 4. Ni kitu gani cheusi na cheupe na kina miguu 236 na kinaruka angani/hewani?

KISWIDI:- Vad är det som är svart och vit och har 236 ben och flyger i luften?

KISWAHILI:- 5. Hivi kwa nini tunanunua nguo?

KISWIDI:- Varför köper vi egentligen kläder?

8 comments:

  1. Duuh...hapa nimetoka bila, sijaweza hata moja, hii kali. Labda tunanunua nguo ili tusibaki uchi, na tupendeze.

    ReplyDelete
  2. Inabidi nianze twisheni ya Kiswidi maana hapa mmh.

    ReplyDelete
  3. klockan, byxor, grop, ?, för att vi inte ska vara utan kläder.

    ReplyDelete
  4. @Camila: nimepita kapa kabsaaa!

    @Da Yasinta: sijui nkupe mji uninong'oneze :-(

    ReplyDelete
  5. Haya wapendwa wasomaji naona nimetoa vitendawili vigumu sana naona Da Camilla amejitahidi kidogo basi ngoja nitoe majibu:

    1. majibu yake ni:- kiswahili saa na kiswidi ni klocka
    2. kiswahili: suruali na kiswidi byxor
    3. Kiswahili: shimo na kiswidi hålet
    4. kiswahili 118 magpies(aina ya kunguru) na kiswidi 118 skator

    5. kiswahili: kwa sababu nguo sio bure, kiswidi: För de är inte gratis. Haya ndio majibu ya Vitendewili hivyo samahani kama niliwakwaza. UPENDO DAIMA!!

    ReplyDelete
  6. Hizi lugha nyingine taabu sana, yaani ukiandika a au o lazima itoke na jasho juu yake, kazi sasa!!

    ReplyDelete
  7. tranve de bronto've me

    ReplyDelete
  8. vimax thanks gan infonya vimax asli di tunggu info selanjutnya gan obat klg

    ReplyDelete