Sunday, March 28, 2010

NIMEFUNGUA BLOG MPYA!!!


Hatimaye leo nimeamua kufungua blog mpya yenye uasili wangu sio mwingine tena ni uasili wa kingoni KARIBUNI SANA WOTE. http://ungoni.blogspot.com/

5 comments:

  1. Ahsante sana kwa kutukaribisha.

    Tayari nimeshapanda basi la Kiswele naelekea Ungoni.

    ReplyDelete
  2. UKABILA OYEEE!

    Nafagilia AIDIA YA hiyo glogu nyingine ingawa nakiri huko sitakuwa mwanachama!

    Na sababu zangu lakini kwa hiyo ndio MAANA ,....

    ....na wala sio za ukabila lakini!:-(

    ReplyDelete
  3. Hongera Da Yasinta, tutakua tunapita mitaa hiyo pia, na kujifunza mawili matatu.

    MAKULILO, Jr.
    www.makulilo.blogspot.com
    San Diego, CA

    ReplyDelete
  4. Dada witu yani nimependi blogu mpi hio inanikumbushi bambo wakati akizungumzi, napenda kutazama movie za bambo ananifurahishi sani yani itabidi uweki pichi ya bambo katiki blogu hio.

    ReplyDelete
  5. Hongera sana, Shukran tutatembelea

    ReplyDelete