Friday, February 5, 2010

Nawatakieni mwisho wa juma mwema!!!



Natumaini wiki hii kwa wengi imeisha vizuri. Basi kama umemaliza kazi kaa chini na upumzike na usikilize mziki hii ukiwaza kitu kama una cha kuwaza la sivyo atapata mawazo kwa kusikiliza na kumuwaza umpendae ambaye yupo mbali nawe.

IJUMAA NJEMA NA WOTE MNAPENDWA!!

5 comments:

  1. ahsante sana da Yasinta. nimekuwa kimya kwa siku kadhaa. kulikuwa na hitilafu ya mtandao. nawe uwe na wikendi njema.

    ReplyDelete
  2. Ijumaa na Wikiendi njema Dada Yasinta!

    Na wewe UNAPENDWA au JUA mie ni miongoni mwa TUNAOKUPENDA ingawa kwa bahati mbaya sina MAPOTOPOTO ya kukutumia!:-)

    ReplyDelete
  3. kwa kweli wanasema mziki ni ujumbe lakini katika miziki ya bongo fleva haina ujumbe kabisa isipokuwa imejaa habari za mapenzi ambayo leo inalemeza vijana nguvu kazi.

    Ushauri kwa wasanii wetu watunge tungo zinazo husiana na kilimo,majira ya mvua,aina tofauti ya mazao na sio kueneza habari za mapenzi ambayo hayana katika nafasi katika dunia ya leo.

    Selassi I.

    ReplyDelete
  4. Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!February 6, 2010 at 10:08 AM

    Asaanti yasinta. nawe pia uwe na wakati mzuri wikiendi hii.

    aksante kwa muziki

    ReplyDelete