Sunday, January 24, 2010

SALA YA LEO NI KUWAOMBEA WATU WOTE DUNIANI!!!

Salam Maria, umejaa neema, Bwana yu nawe, umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
Maria Mtakatifu mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu. Amina.

Je? unajua hapa chini ni lugha gani??? zawadi nono itatolewa.

Yethi Maria ogcwele igrasiya, iNkosi inawe, ubusisiwe wena esifazaneni, ibusisiwe nenzalo yesisu sakho uJesu. Maria ocwebileyo, Nina kaNkulunkulu, mawusikhulekele thina zoni, kalokhu nasesikhathini sokufa kwethu. Amen.


Var hälsad Maria, full av nåd.
Herren är med dig.
Välsignad är du bland kvinnor
och välsignad är din livsfrukt Jesus.
Heliga Maria, Guds Moder,
be för oss syndare
nu och i vår dödsstund.
Amen

NAPENDA KUWATAKIENI JUMAPILI HII YA NNE IWE NJEMA KWA WOTE!!!!

6 comments:

  1. Hapa nasita kukomenti nachofikiria!:-(

    ReplyDelete
  2. Mt. Simon kwa nini? nanukuu:- "Hapa nasita kukomenti nachofikiria!:-(" mwisho wa kunukuu

    ReplyDelete
  3. Yasinta,
    Paragraph ya juu: Kizulu na ya chini: Ki-Swede.
    Nasubiria zawadi!!!Wikiendi njema.

    ReplyDelete
  4. Sala nimuhimu dada asante. Lakini nasoma mandiko yase mayo:``Hakuna hata mmoja mwenye haki; hakuna hata mmoja mwe nye kuelewa, hakuna hata mmoja amtafutaye Mungu. 1 2Wote wamepotoka na kwa pamoja hawana thamani yo yote; hakuna atendaye mema hata mmoja" (Waroma 3:10-11). Na swali lililo nijia ni je sala zetu tumpelekee nani asiye na dhambi? Naamini Bikira Maria alijua jibu la swali hilo aliposema "...na roho yangu inamfurahia Mungu Mwokozi wangu"(Luka 1:47 ).

    ReplyDelete
  5. Warumi 3:17-18
    nisomee mistari hiyooooooooo kabla sijaCHARUKAAAAAA

    ReplyDelete
  6. Kaka Faustine! umepata na zawadi yako iko njiani nshaposti. Wiki yangu iliishia kazini lakini ilikuwa njema

    Majaliwa na Markus Amina.

    ReplyDelete