Napenda kukutakia kila la heri kwa siku hii maalum. Yaani ni tarehe ambayo ulifungua macho yako katika ulimwengu huu. Ila sina uhakika kama ilikuwa siku ya jumamosi pia. Nakuombea Mwenyezi Mungu akujalie afya njema wewe na familia yako. Na zaidi ya yote akujalie baraka zake kwa kadri ya mahitaji yako.
Hongera zake mkuu sana
ReplyDeleteHeri kwa sikukuu ya kuzaliwa Simon!
ReplyDeleteUjaaliwe afya njema na mafanikio tele!
aaaaaaaaaaaaw!!! Happy Birthday kwa kaka Simon
ReplyDeleteYale yale niliyosema.Birthdays.
ReplyDeleteHappy Birthday Simon, Mungu akupe umri mrefu. afya njema, akuzidishie nguvu na ujasiri
ReplyDeleteYehuu! Mtakatifu Simeone azaliwa. "Ongela" kwa kutimiaza maika 'kazaa'. Mungu akujaalie miaka tele hata ukikata rasta zako, utakazoziacha zifike unyayoni na zikikunjwa zifike kichwani. Amen!
ReplyDeleteYour face has not changed much in the pic. hope it was in mbeya, au?
Yaani sipati picha huo ugimbi leo, na hivi ni jumamosi duuh. Jamani hongera sana Kitururu Mungu akusaidie mwaka huu ufanye kweli.
ReplyDeleteStay in peace.
hepi besidei mt. natumai hutakuwa mtakavyombo leo kama alivosema Da Mija :-(
ReplyDeletemtakatifu nilisahau mija kanikumbusha. vipi hatupatI walau chupa moja (ile kubwa) ya KUNYWAGA, sorry KONYAGI?
ReplyDeleteHappy birthday kaka Simon,furahiy siku yako.
ReplyDeletepicha yake tu ya utotoni inaonesha 'katakuwa katoto machachari kweli kweli wasee!'
ReplyDeleteBroda Mtaktifu Simon Kitururu, heri ya siku ya kuzaliwa.
hongera! you're getting younger!
ReplyDeleteSalamu zangu zimechelewa lakini hazija chacha HONGERA SANA
ReplyDeleteAsanteni Wote kwa kunikumbuka!
ReplyDeleteAsanteni sana tena sana!
Mkuu natumaini sijachelewa sana..Happy Birthday!
ReplyDeleteHappy birthday Baba Mtakatifu.
ReplyDeleteIngawa nimembandika hapa Mt. ila nadhani nami napaswa kumtakia heri ingawa nimechelewa kwani siamini kuna kuchelewa katika jambo hili. Hongera sana Mtakatifu Simon. Nakutakie maisha marefu na uwaona wajukuu wake na wajukuu wa wajukuu wako.
ReplyDelete