Tuesday, December 29, 2009

PICHA YA LEO:-NAOMBA TUTAFAKARI PAMOJA!!

Hapa itakuwa ni picha ya mwisho kwa mwaka huu kuwa katika blog MAISHA. Je unaona nini hapa?

12 comments:

  1. Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!December 29, 2009 at 10:52 AM

    Mh! naona mtu na mbwa a.k.a snoppy dog doggy....lol

    mtu/mbwa huyo ni mzungu na mwafrika kwa wakati mmoja...lol

    lakini mtu huyo ni wa ajabu pia kwani yawezekana akawa na miguu minne badala ya miwili....lol

    kisha naomba kuuliza swali: kwa nini iwe picha ya mwisho? nawe unataka kufunga blog?...lol

    ReplyDelete
  2. Mtubwa huwa akona mwizi analia mwiziiiiiiiiiii wuwuwuw! mwiziiiii.........

    ReplyDelete
  3. Kafanana na MK......lol

    ReplyDelete
  4. Chacha Wambura usemayo inawezekana ni kweli kabisa:-) Na chacha kuhusu kuwa picha ya mwisho kwa mwaka huu ni kweli na swali lako kama nataka kufunga blog pia jibu nani anajua?

    Mt. Simon ni kweli kabisa!!

    Kaka Bennet! Umeniachia maumivu ya mbavu yaani nimecheka kweli....ha ha haha haha ha ha h a ah! kaaazi kwelikweli!!

    Usiye na jina inawezekana ni kweli. Nina swali MK ni nani?.....lol

    Dunia hii, siku hizi kuna vitu vingi mno vya teknolojia watu sijui mwisho wake itakuwa nini.

    ReplyDelete
  5. mtengenezaji wa picha hiyo alikuwa na taswira ya dunia ya sasa, binadamu hawana sifa tena ya kuitwa binadamu, unyama umezidi kiasi kwamba wanastahili kuitwa majibwa, samahani si kwa watu wote.
    Ebu angalia mambo ya ugaidi, ushoga, kafar za ma albino, ubakaji wa vichanga, ulozi nk Hata wanyama hawafanyi hivyo. Na siku nikiona kuna tembo shoga, basi dunia imepukutika

    ReplyDelete
  6. half human, half dog??...tumeshaona half human, half goat...japo imetengenezwa ila kuna akili za binadamu wengine wanaweza kumzalisha mbwa...I am just saying...

    ReplyDelete
  7. Mazingaombwe hayo.Happy new year dada yangu mpendwa (na pia kwa ndugu wote)!
    Mungu akitujalia tutakula kiporo pale Peramiho one day in the future.

    ReplyDelete
  8. Jamani watu mna maneno eti kafa nana na Mage k embu acheni maneno wabongo

    ReplyDelete
  9. Mimi nakutakia heri ya mwaka mpya 2010.

    ReplyDelete