Sunday, December 27, 2009

LEO NI JUMAPILI YA MWISHO YA MWAKA HUU NA NI JUMAPILI YA FAMILIA TAKATIFU!!! NAWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA!!


Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako,

Wala usiyapuuze mafundisho ya mama yako.

Maisha ya kila binadamu huanza na hatua ya utoto. Mafanikio ya kila mtoto hutegemea malezi na makuzi ya wazazi au walezi.

7 comments:

  1. Jumapili Njema!

    Ila na wasiwasi na usahihi wa mtazamo huu nikunukuuo ``Mafanikio ya kila mtoto hutegemea malezi na makuzi ya wazazi au walezi´´ mwisho wa nukuu.:-(

    Kila toto katika mafanikio ya kuwa JAMBAZI sidhani hakuna uwezekano lililelewa ili liwe PADRE.

    NA hivi hakuna uwezekano kuwa toto nyingine ZILIZOKUJA FANIKIWA ya NYUMBANI walezi wake ILIKUWA ni mtaa uliokuwa ukifunza ya mtaani?:-(

    ReplyDelete
  2. Nami nakutakieni kila la kheri katika kuumaliza mwaka. Mjaaliwe afya njema na mwanga mpya kwa mwaka ujao.

    ReplyDelete
  3. Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!December 28, 2009 at 6:42 AM

    @ Mt. Simon: na kama lililelewa kuwa sista likafanikiwa kuwa mama wa jumbaniii inakuwaje mtu wangu??????
    duh:-)

    ReplyDelete
  4. @Kadinali CHACHA Ng'wanambiti:

    DUH swali hilo labda aulizwe Dada Yasinta ambaye alitaka kuwa SISTA kabla ya kujulia maswala ya kutii mwito wa kuujaza ulimwengu.:-(

    ReplyDelete
  5. Mt: Simon! Hapa inategemea ila kila mzazi/mlezi anafanya jitihada awezayo kumlea mtoto wake akiwa JAMBAZI basi labda alipangiwa kuwa hivyo na ndio pia inawezekana ni mtaa ndio uliomfunza ya mitaani.

    AHsante dadangu ingawa nimechelewa kujibu natumaini nawe ulikuwa na j´2 njeama pia

    Mtani! nawe unatakiwa kila la kheri katika kumaliza mwaka pia.

    Ahsante hata kama nimechelewa kujibu! god jul du med.

    Chacha Wambura na Mt. Simon :-)

    ReplyDelete