Friday, October 9, 2009

NAPENDA KUWATAKIA WOTE MWISHO WA JUMA NA MUSIKI HUU HAYA TUFURAHI PAMOJA



UJUMBE WA LEO:- UKITAKA KUJUA MENGI BASI ULIZA (FRÅGA OM DU VILL VETA MERA)

5 comments:

  1. Asante kwa burudani mapumziko mema na kwako pia

    ReplyDelete
  2. Asante kwa burudani mapumziko mema na kwako pia

    ReplyDelete
  3. ni kweli tumeburudika tena weekend hii tunasherekea sherehe zetu za kila mwaka, safi kabisa! mhh tunaomba rudisha tena wa kingoni kwa dk kadhaa, maana ule uliouweka umekuwa mfupi mno!!

    ReplyDelete
  4. Ni raha kwa mimi kusikia wote mnaburudika/selebuka. Mimi ndio msiseme mpaka kanga zinaanguka....LOL Asanteni wote.

    ReplyDelete