Na Wasambaa, Wabondei, Wazigua na Wadigo
Haya Viva afrika, na wengine wote wanao elewa nini kinasemwa/imbwa muwe na furaha ijumaa ya leo . Pia naomba mniambie wanasema nini kwani nimeambua neno moja tu ila nimependa mapigo ya mziki. IJUMAA NJEMA KWA WOTE!!!!
samahani naomba usiende kunywa bia maana nitachukia bureeee. najua utamwambia kaka Kitururu anunue bia na kashata au...lol...
ReplyDelete@Mkuu Markus: :-)
ReplyDelete@Dada Yasinta: Ijumaa njema nawe pia! Na asante kwa burudani mwanana!
huko kwa wasambaa UGIMBI upo lakini?
ReplyDeleteMmhhhh!!! Hivi hakuna kamusi ya kisambaa? Najua ya kiwetu ipo.
ReplyDeleteKaazi kwelikweli
Ijuma njema kwako pia Dada.
Markus! kuacha kunywa bia na kaka Kitururu ni lazima rahaaa jipe mwenyewe....
ReplyDeleteSimon! je? umecheza pia kama burudani ilikuwa mwanana kwani mie mpaka kiuno kinauma:-)
Chacha Wambura! nadhnani kuna UGIMBI maana ngoma hii bila ugimbi?
Mzee wa Changamoto labda tumuulize VIVA AFRIKA.
Asante sana dada Yasinta,
ReplyDeleteHapo anasema kuwa atacheza na nai ngoma ya dumange wakati wasichana na wavulana wanakwina kwa ukimwi, tuchukuwe tahazari.
ni mimi mzee wa Tanga kutoka Zim kwa Mugabe
Jambo! asante kwa tafsiri ya wimbo huo. na Karibu tena na tena katika kibaraza hiki cha MAISHA.
ReplyDelete