Thursday, September 17, 2009

MZIKI NI MOJA YA MAISHA NGOJA TUMSIKILIZA DADA LADY JAY DEE- NATAMANI KUWA MALAIKA



Dada Jay Dee hata mimi natamani kuwa malaika tu nimeupenda kweli wimbo huu mpaka nimeona niuweka hapa. Ahsante sana. Nadhani siku moja tutakuwa ru malaika.

5 comments:

  1. Lady Jay Dee kama kawaida yake, kaja na kitu kikali, mawazo mazuri. Wimbo mzuri binafsi nimeupenda. Wanasema siku hazirudi nyuma japokuwa tunatamani sana, maana ukiwa mtoto utabembelezwa, unaangaliwa kwa ukaribu zaidi. na hapo kuwa kama Malaika ni patamu zaidi, kwani malaika wema (maana wapo walioasi huko kwa Mungu) wapo safi kabisa, japo kila mmoja wetu angejitahidi japo kuwa kama malaika wema nadhani dunia ingekuwa safi
    Lakini kuwa mtoto nako kuna changamoto zake hasa kama huna ulinzi imara!!

    ReplyDelete
  2. Hata mimi nimeupenda...mtu ukishuka Bongo I think ni must go akiperform na bendi yake.She is doing her "ting"

    ReplyDelete
  3. Hata mimi nimeupenda...mtu ukishuka Bongo I think ni must go akiperform na bendi yake.She is doing her "ting"

    ReplyDelete
  4. Asante usiye na jina na asante Candy1. Nadhani hakuna asiyependa kuwa malaika wimbo mzuri sana na umekuwa wimbo wangu Rahaaaaaa.

    ReplyDelete
  5. Muziki wenyewe poa, na mwimbaji ametulia. Lady JD hoyeee!

    ReplyDelete