tehe, tehe, tehe, hii safi sana, raha ya mwafrika hii jamani, sasa da yasinta hebu fanza ka mpango hapa nipate mdumange nijinafasi na ndugu zangu wasambaa, wabondei, wazigua na wadigo, tehe, tehe, tehe.
mlongo, asante sana kwani apa unipeliki kunyumba aswa. miaka ya nyuma enzi ya Lilambo, mwanamonga kijiji cha jilani kilikuwa kinaiweza sana kazi ya lizombi tulikuwa tunafuraha sana wakiwa wanakuja lilambo kucheza ingawa apo Lilambo pia kulikuwa na kikundi lakini walikuwa hawawezi kuwafua watu wa mwanamonga. kwa jumbe iddi wao walikuwa watu wa chomanga. Molongo usengwili. Ubarikiwe.
Kweli kunyumba nga kunymba. Aya wandugu hapa ni mwanzo tu wa kuselebuka. Nafurahi kuona wengi mmependa utamaduni wa kingoni ingwa hamelewi wanasema nini: Asanteni
Si wewe tu hata mimi nimekumbuka nyumbani. Gwali na lanyungu hahahahah,keep it up dada Yasinta
ReplyDeleteDuh!!!
ReplyDeletePamoja kucheza, kuimba kingoniiiiii ntakudanganya. Lol
Swafi Dada
kaaazi kweli kweli.....umenikumbusha uhuwiko.....LOL
ReplyDeletetehe, tehe, tehe, hii safi sana, raha ya mwafrika hii jamani, sasa da yasinta hebu fanza ka mpango hapa nipate mdumange nijinafasi na ndugu zangu wasambaa, wabondei, wazigua na wadigo, tehe, tehe, tehe.
ReplyDeleteKali hii!Hapo ni wewe tu Yasinta unakosekana!
ReplyDeleteYasinta safi sana bombii!!!endelea kutuwekea vitu hapa.hongera sana.
ReplyDeletemlongo, asante sana kwani apa unipeliki kunyumba aswa. miaka ya nyuma enzi ya Lilambo, mwanamonga kijiji cha jilani kilikuwa kinaiweza sana kazi ya lizombi tulikuwa tunafuraha sana wakiwa wanakuja lilambo kucheza ingawa apo Lilambo pia kulikuwa na kikundi lakini walikuwa hawawezi kuwafua watu wa mwanamonga. kwa jumbe iddi wao walikuwa watu wa chomanga. Molongo usengwili. Ubarikiwe.
ReplyDeleteBo mbili nyumbili wangoni wote munyimuke!!!!
ReplyDeleteKweli kunyumba nga kunymba. Aya wandugu hapa ni mwanzo tu wa kuselebuka. Nafurahi kuona wengi mmependa utamaduni wa kingoni ingwa hamelewi wanasema nini: Asanteni
ReplyDelete