Monday, September 21, 2009

JE? UNAONA NINI KATIKA PICHA HIZI? SIJUI MAPACHA HAWA?:-)

Sijui huyo ni dada wa wapi?


Na huyu pia sijui ni nani ila kuna kitu hawa watu wanafanana au?


7 comments:

  1. johnmwaipopo@yahoo.comSeptember 21, 2009 at 11:18 AM

    wote ni wa afrika, ila mmoja mrefu kuliko mwingine, au?

    ReplyDelete
  2. Duh, wote wanavutia. Wote wapo chicha. Wote wanawaka. Wa juu ni Mngoni, wa chini simnyaki.

    ReplyDelete
  3. Mwaipopo ni kweli mmoja mfupi na mmoja mrefu na wote ni waafrika.-)

    Asante mtani kama unaona ulivyoona. Ni kweli mmoja ni mngoni na huyo mwingine mmhh sina uhakika labda ni kweli au labda naye mngoni je?:-)

    Mwanasosholojia nasubiri ukodolee macho zaidi nina imani utarudi na jibu......LOL

    ReplyDelete
  4. hapo mmoja mzuri mmoja mbaya and am serious about it!!!lol

    mzuri ni kwa sababu ni mzuri na mbaya ni kwa sababu kajikondesha ili awe mzuri!!!!lol

    ReplyDelete
  5. Chib:-)

    Chaha Wambura asante sana na asante kwa kutembele blog maisha na karibu sana tena sana.

    ReplyDelete
  6. huyo aliyosema mmoja ni mzuri na mwengine ni mbaya "you are insane". wote ni wanawake but they differ in occupation. Kila mtu ni mrembo akijiremba....uzuri wa mtu anajua mtu wake wa karibu

    Tamasha

    ReplyDelete