Hapa ni leo mchana kama saa nane hivi
Nadhani mnaona vazi la leo ni tafaouti na picha nyingine kwani sasa baridi imeanza leo asubuhi iliwa -0.4C. Waliofika Njombe, Iringa Makambako na pia Mbeya wanajua. Mmmmh kazi inaanza sasa kaziiiii kwelikweli, maana mtu unavaa nguo na mwisho unaonekana kama una kilo elfu kumi. Haya ngoja niache.
Wakati wa watu kununa umekaribia. Vicheko vyote na tabasamu vya summer ndio vipo ukingoni.
ReplyDeletendoa zitakuwa na maana sana nyakati kama hizo.
ReplyDeleteModel Yasinta akipozi kwa picha kuonyesha mavazi ya winter 2009/2010...lol,unafaa kweli kuwa model hongera sana.
ReplyDeletePoleni sana yaani ni kama mnaishi kwenye jokofu
ReplyDeletePole kwa baridi sister!
ReplyDeleteMmh...mbona kwenu temperature imeshuka mapema? Huwezi kuamini sisi bado tunapata 18 degrees celcius...iko nice but it brings spiders lol!
ReplyDeleteDada kwa hiyo huu sio msimu wa kuvaa vimini huko....!!!!!???
ReplyDeleteni wakati wa uchumi wa wauza makoti,mablanketi, na vipasha nyumba kuimarika, ndoa ztaimarika pia, sisi huku joto kama kawaida -WASALAAAM huko ughaibuni dada Yasinta
ReplyDeleteSasa hivi visirani vya kiwinta vitaanza mambo yote kununiana!:-(
ReplyDeleteUmependeza lakini Dada Yasinta !
Kaka Chib, ni kweli kabisa sasa ndio ule wakati wa kununa na ni ule wakati wa kutowaona majirani.
ReplyDeleteKamala, inawezekana ni kweli.
dada Passion4fashion.Tz asante sana labda niache hii kazi niliyonayo na kuanza kazi ya model au unasemaje? Ahsante dadangu
Kaka Bennet, Ahsante ila huu ni mwanzo tu na bado.
Shein Ranger sports club, asante sana.
Candy1, Hongera kwa kuwa bado na joto kiasi hapa hakuna mchezo hasa asubuhi.
Kaka Shabani, vimin unawezw kuvaa ila inabidi utangulize nsuruali nzito kidogo ili isiganfde na baridi.
Tandasi, ni kweli sasa maduka ya makoti wanauza sana . Na asante salam zimefika
Mt. Simon, vipi huku Finland bado baridi haijaanza. Na ahsante kwa kuona nimependeza:-)
Naona jhaijafikia hatua ya kuvaa gloves mikononi...lakini mbona huwa hamvai gloves usoni? ..lol
ReplyDeleteAhsante chaha Wambura huo ni ubunifu mzuri gloves usoni. Tunavaa mikononi hasa asubuhi.pia hilo koti ni dogo linafaa kwa sasa tu baadaye itabidi kubwa zaidi.
ReplyDeleteUmependeza mno rafiki yangu.
ReplyDeleteAhsante sana dada Mija.
ReplyDeleteDa' Yasinta umenikumbusha mbali. Napenda sana majira ya host. Na labda niseme kwa kilugha chenu cha huko. Jag alskar host, det ar underbart period speciel nar lov borja byta farger. Det ar sadan man kan langtar tillbaka till Sverige. Na Natamani pia kuwa Sweden wakati wa winter maana nilipokuwa huko niliweza kujifunza ku-skii na nilipenda sana ku-skii men inte slalom!
ReplyDeleteMaggid
Kaka Mjengwa! Tack så mycket jag tycke lite grann höst och vinter tycker jag inte om. Vad kula att du tycker om at åka skidor. Karibu tena hapa kibazai kwangu.
ReplyDelete