Tuesday, July 21, 2009

OM MAN VILL BLIR FIN FÅR MAN LIDA PIN =UKITAKA KUPENDEZA LAZIMA UVUMILIE

mrembo wa leo

Semeni ninyi!!

6 comments:

  1. Sijaelewa!! Hilo ni fumbo zito, labda linawahusu akina dada :-)

    ReplyDelete
  2. da yasinta mie kwetu ndo mdogo, wanikumbusha dada zangu wakati ule wakinyoosha nywele kwa chanuo la chuma, waliweka motoni kisha wanapitisha kichwani kwenye nywele zenye mafuta rundo! lol! kweli ukitaka kupendeza shurti uvumilie.

    ReplyDelete
  3. Katika hii picha nadhani ukitaka kuvua chamoto utakiona:-)

    ReplyDelete
  4. Karibuni sana kaka zangu katika dunia ya wanadada. Ni kwamba sisi akina dada tunapenda sana kupendeza. Na kuna wakati tunapendaza kupita kiasi.

    Sio kwamba akina kaka hawajui kupendeza hapana ila akina dada wamezidi. Hata kama kuna maumivu wanavumilia tu. kazi kwelikweli:-)

    ReplyDelete