Sunday, July 12, 2009

NAPENDA KUMPA HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA KAKA YANGU


Huyo ni kaka yangu mkubwa yaani wa kwanza kunyonya yeye ziwa na kuniachia mimi.Hongera sana kaka kwa siku yako ya kuzaliwa.

8 comments:

  1. Hongera saana Kaka. Hongera kwa kuwa na Da'Mdogo mwenye kukukumbuka na kukujali. Hongera kwa Da'Mdogo pia kwa kuwa na moyo wa upendo kwa kaka na kumtakia kila lililo jema. Nasi wadogo wa Da Yasinta twakutakia kila lililo jema maishani na maisha mema
    Happy Birthdate

    ReplyDelete
  2. Nashirikiana nawe kumpaka kaka Hongera kwa siku yake ya kuzaliwa. Ni baraka kuwa na kaka na inapofikia siku kama hii ni bora kumpongeza maana nae amejitahidi kujitunza hadi kufikia alipo, pamoja na juhudi za wazazi,ndugu jamaa na marafiki, japo katika nafasi ya kwanza akiwa Mungu.Hongera kaka.Hepi bethdei tu yu!

    ReplyDelete
  3. Hongera kaka kwa kutimiza miaka kadhaa, ninakutakia maisha marefu na yenye mafanikio na matarajio yako yatimie

    ReplyDelete
  4. Nahisi sijachelewa sana jamani...Hongera kaka!Hongera na dada kuwa na kaka aliyeongeza idadi ya miaka aloishi duniani!

    ReplyDelete
  5. Hongere kaka tunakutakia maisha mema.

    ReplyDelete