Monday, July 13, 2009

JE? UNAJUA HII PICHA UMEPIGWA WAKATI NIPO WAPI AU UNAONA NINI?

7 comments:

  1. ok, nadhani ni mazingira ya hospital hayo! huenda kuna sindano hapo! sijui na kifanyio au la!!

    ReplyDelete
  2. Hiyo picha ilipigwa wakati tupo kwenye ndege nadhani ni sehemu za Libia. Nini hata mie sijui nilikuwa na matumaini nitapata msaada kwenu.

    ReplyDelete
  3. Labda oasis!! Mh. Lakini..., hapana....
    Ah labda ni kwenye dari tu. Ngoja nikale kwanza

    ReplyDelete
  4. Chib maoni yako 'yananipaga' raha. Ngoja nikale kwanza, haha ha ahaaa!

    ReplyDelete