Sunday, July 19, 2009

HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA BABA/BABU YETU

Hapa ni wakati wa ujana nadhani ilikuwa miaka ya 1970.
Hapa ni mwaka 2009 na baadhi ya wajukuu wake

Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumlinda baba yetu mpaka siku hii ya leo, umetimiza miaka 62. Sisi watoto, wajukuu na marafiki tunakutakia maisha mema na tunakupenda sana. Kwani wewe ni mtu muhimu sana katika maisha yetu. Uwe na siku nzuri baba.



12 comments:

  1. Dah! Ama kweli ni baraka kufikisha umri wa hivi. Lakini anaonesha kuwa na afya njema sana na kwa hakika una mengi ya kujivunia. Pengine mengi ya kujifunza pia maana hii ni kati ya MAKTABA HAI zenye kujua maisha na ambazo wastahili "kuzing'ang'ania" ili kuchota mengi mema kuhusu maisha
    Happy Birthdate Mzee Ngonyani

    ReplyDelete
  2. HAPPY BIRTHDAY MZEE NGONYANI..
    NAONA MZEE HAPO AMEPENDEZA NA WAJUKUU ZAKE........

    ReplyDelete
  3. Happy birthday mzee Ngonyani.

    Twakutakia maisha marefu na yenye furaha.

    ReplyDelete
  4. hongera sana kwa siku hii muhimu kwako na kwake pia, mungu awatunze

    ReplyDelete
  5. I hope you're well, a warm embrace from Italy.

    Hello Yasinta

    Marlow

    ReplyDelete
  6. interesting. nilimwambia mtu mmoja kuwa bibi yangu sasa ana miaka zaidi ya 85, bado anaweza kusoma barua kwa mwanga wa kibatari/mshumaa bila miwani.

    akaniambia, mtu wa umri kama huo basi ameisha jaza choo cha kwake peke yake!!!!

    Happy B'Day mdingi wetu

    ReplyDelete
  7. Happy birthday baba yetu,mungu akupe maisha marefu zaidi.

    ReplyDelete
  8. Heri ya siku ya kuzaliwa mzee Ngonyani!

    Ulituzalia binti mzuri...

    Nakutakia maisha marefu!

    ReplyDelete
  9. Nawashukuruni wote kwa kuwa nami kumpongeza babangu mpendwa mzee Ngonyani. Nami nasema HAPPY BIRTHDAY mzee Ngonyani

    ReplyDelete