Kwanza namshukuru Kaka Kamala kwa kunikumbusha nyimbo alizoandika kibarazani kwake. Kwa hiyo nami nnimeona niweke hii, kwani kuna wazazi, wazazi watarajiwa ambao wanahitaji kuwaimbia watoto wao. Wimbo huu nadhani wengi mnakumbuka haya soma hapa au imba:-
Simama kaa, simama kaa
Ruka ruka ruka simama ka
Kimbia tembea tembea tembea
Kimbia tembea tembea tembea
Simama kaa simama kaa
Ruka ruka ruka simama kaa.
hehehehe yaani wimbo huu!!..
ReplyDelete...halafu unajua hapo baada ya kuruka watoto wengi wanajichanganya, kwamba wanakaa wakati wanatakiwa wasimame baada ya kukaa... Yeah I was one of them...lol
Ty 4 bringin bak such cute memories
yaani mimi ni kama kichaa wakati mwingine nikiwa home. huwa nakumbuka nyimbo hizi naanza kuimba na kucheza, basi duh?? kazi kweli kweli. naonekana chizi lakini duh?? udogo haurudi
ReplyDeleteWell!! Good old days. Gosh!!
ReplyDeleteKweli kuna vitu hujutii japo unatamani virejee.
Thanx Sis