Sunday, June 28, 2009

NAWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA

NAWAOMBEA
Nawaombea Yalo Mema
Kwa Usiku Na Mchana

Ziwaepuke Lawama
Kwa Watu Wenye Hiyana

Awajaalie Ukarimu
Kwa Nia zenu Njema

Awaepushie Lawama
Binaadamu Siwema

7 comments:

  1. Nasi twakutakia Jumapili njema. Uwe na wakati mzuri na furahia mwisho wa wiki na familia yako.
    Wasalaam

    ReplyDelete
  2. ahsante sana, nawe jumapili njema

    ReplyDelete
  3. Pia twakutakia jp njema na lakini nitapata faraja sana kama tukajiwekea utaratibu wa kutakiana na kheri kwa kusaidia yatima na wenye shida katika maeneo yetu hapo vipi?

    ReplyDelete
  4. Asante sana kwa sala, na kweli Jumapili ilienda vizuri kwangu, sijui wewe

    ReplyDelete
  5. Asanteni wote nami pia j´pili yangu ilikuwa njema kabisa. Namshukuru Mungu nimeamka salama leo J´tatu wiki nyingine.

    ReplyDelete