Tuesday, June 9, 2009

KWELI NI HAKI AU INAWEZEKANA KWELI?

Je? ni huruma au?


Na hapa je?

Picha hizi zinatoka kwa kaka Mjengwa. Ama kweli duniani kuna mambo!!!!

3 comments:

  1. unaweza ukadhani ni fix lakini kwa upande wangu record za mambo ya mauza-uza huwa-ga zinavunjwa-ga na watu wa india. sina uhakika na hizi picha lakini kwa kuwa ni india, naweza kufikiri kwa mara ya pili.

    ReplyDelete
  2. hii niliwahi kusikia imetokea Uganda mabapo mzee mmoja alikuwa akimlazimisha mke wake anyonyeshe watoto wa mbwa ambaye mama yao alifariki, kwani kabla mama yao hajafariki alikuwa na ng'ombe ambao walikuwa akitoa maziwa kwa ajili ya hao mbwa, na hao ng'ombe huyo mzee alitoa mahari ya huyo mama hivyo mbwa wakawa hawana sehemu ya kupata maziwa ndiipo yule baba akawa anamlazimisha mke wake awanyonyeshe hao mbwa kwani yeye alikuwa ni muwindaji na hao mbwa walikuwa wakimsaidia katika shughuli zake za uwindaji,lakini watoto wa huyo mama mmoja alifariki kwa ugonjwa ambao unakisiwa ni kichaa cha mbwa, na yule mmoja aliebaki nae alianza kukuhoa kama mbwa, na mama chuchu zake zilikuwa na madonda kwa ajili ya kung'atwa na mbwa wakati akiwanyonyesha, lakini kwa india ni mambo ya kawaida ikiwa ni pamoja na kuuza viungo vya mwili na kupandikizwa mimba za watu wengine kwa ujira.

    ReplyDelete
  3. Kaka mwaipopo ni kweli unaweza kufikiri ni fix hata mimi ni ngumu kufikiri ni kweli,

    Dada Mariamu umenifanya nilie na nusu niitupe lap top yangu chini kwa hasira. Kwa kuona jinsi wanaume wanavyowatesa wanawake. Yaani mtu nakubali kuuwa watoto wake kwa ajili ya mbwa.AAhhhha natamani ningeonana na huyo baba na nasema kweli angekiona cha mtema kuni. Kwa kweli ..basi tu nitasema zaidi siku nikitulia saa hizi nina hasira mno KUMLAZIMISHA MKE WAKO ANYONYESHE MBWA kwa vile wewe unathamini mbwa wa kuwindia kuliko watoto na mke wako. Kusema kweli hili limeniuma sana yaani ....

    ReplyDelete