Wednesday, June 3, 2009

HAPPY BIRTHDAY OUR SON AND LITTLE BROTHER


Tarehe hii ya leo imepita miaka nane tangu huyu kijana azaliwe. Sisi Familia yake tunapenda kumpa pongezi kwa siku hii. Hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa ni Baba, Mama na dada yako ndio wanakupengeaza. Uwe na siku njema Erik.

15 comments:

  1. Erik. Mama kasahau kusema kuwa na Uncle naye anakupongeza katika kukumbuka siku ya kuzaliwa. Na kama ni miaka minane, basi ndio wakati mwema wa kuanza kutambvua miaka ijayo ilivyo.
    Kuna mengi ya kuongea kuhusu maisha na miaka inavyosonga, lakini kikubwa ni wewe kutambua kuwa Baba, Mama, Dada na ndugu wote wapenda mema (wakiwemo ndugu wa hiari), wanakutakia kila lililo jema na kila penye uwezo wa kusaidia watafanya hivyo.
    Kwa maana hiyo, USISITE KUOMBA MSAADA PALE UHITAJIPO.
    Happy Birthdate

    ReplyDelete
  2. Happy Birthday Eric,

    Naamini utazidi kuwa mtoto mzuri na mtii kwa baba na mama na watoto wenzako.
    Pia hongera wazazi kwa kumtunza hadi kufika hatu hiyo.

    Zawadi nimetuma kwa babu na bibi Ruhuwiko ataikuta akienda likizo.

    L. 2nyi

    ReplyDelete
  3. Heri kwa sikukuu ya kuzaliwa.
    Upate heri katika maisha na siku zako ulizojaaliwa kuishi duniani ziwe za mafanikio.
    Afya njema isikupungukie.
    Wazazi wako wapate faraja kwako.

    ReplyDelete
  4. Happy Birthday mtoto mzuri Erik,nakutakia kila la heri na mwenyenzi Mungu akutangulie katika maisha yako.!!

    ReplyDelete
  5. Happy birthday Erik, ukuwe upesi uwe na akili shuleni

    ReplyDelete
  6. GRATTIS ERIK..COOLT HÅR DU HAR O DIGGAR DIN STIL I HELHET..KRAM

    ReplyDelete
  7. habari hii nilikuwa naisubiri..
    Kumbe ilikuwa ni leo, hongera sana Erik kwa kushrehekea siku yako ya kuzaliwa, nakutakia sikuu njema.

    ReplyDelete
  8. grattis erik från camilla

    ReplyDelete
  9. blog nzuri. Naomba usambaze ujumbe huu kwa watanzania kwamba "AMERICAN GREEN CARD" ni BUreee. Kwa maelezo zaidi. www.rogersbiz.blogspot.com

    ReplyDelete
  10. Jamani Eri nakutakia afaya njema maisha marefu na yenye baraka.

    Kubwa kubwa kubwa kabisa..MPENDE SANA MUNGU WAKO...Ukimpenda Mungu utaheshimu wazazi,marafiki na watu wote.Kwa kufanya hivyo nao watakuheshimu.

    Wewe ni mtoto mzuri.NAKUHAHIDI zawadi yako nitakutumia hivi karibu au nitakuletea.

    Usimuache Mungu wako..Happy birthday Eric

    ReplyDelete
  11. Happy birthday Erik,kama alivyosema uncle mzee wa changamoto,mama kasahau unakina mama wengi na mimi nakupongeza sana Erik,nimeona picha yako hapo naona umekuwa mkubwa zaidi kuliko picha za nyuma.
    Ubarikiwe sana,happy birthday, enjoy your day.

    ReplyDelete
  12. Mtoto alifikia miaka mingapi?

    ReplyDelete
  13. Kwa niaba ya Erik nikiwa kama mama nasema asanteni wote nami nilikuwa na siku nzuri sana. Pia mama anaomba samahani kwa kuwasahau wajomba wa hiari na akima mama mdogo na mkubwa kutoa salamu. na ni kwamba Erik ametimia miaka tisa (9)

    ReplyDelete
  14. ERIK MZIWANDA WANGU, NIPO MBALI NA MTANDAO ILA SIPO MBALI NA USO WAKO, NAKUKUMBUKA MTU WANGU ULILALAMIKA ETI JOTO, UKAWA UNAOGELEA KAMA SAMAKI DUH!
    USIJALI LAKINI NAKUTAKIA KILA LA HERI, UWE KAMA MAMA AU BABA WAKUTUNZAO, MPE SALAM ZANGU CAMILLA, MWAMBIE UNYAMBILI KWELI WAMWANA VEVE.
    SIJAKUSAHAU RASTA WANGU ERIK PAMOJA DAIMA

    ReplyDelete