Monday, May 4, 2009

NAANZA JUMATATU HII NA HUYO DADA NA MITINDO YAKE UKIJIPENDA MWENYWE NA WENGINE WATAKUPENDA=MAISHA

Mimi Nangonyani

Hapa pia mimi nawaza kitu

Hapa nilikumbuka nilipokuwa mdogo nilikuwa napenda sana kufunga nguo (Lubega) shingoni

13 comments:

  1. Aminia da Yasinta. Picha baaaabkubwa.!

    ReplyDelete
  2. Dada Yasinta umependeza vilivyo.Nimevutiwa pia na hu msemo "ukijipenda mwenyewe na wengine watakupenda".Ni kweli kabisa.Na wengine wanasema "raha jipe mwenyewe".
    Ingekuwa kule kwetu Ifakara nigekuletea kimbo ya mchele au pepeta kama ishara ya pongezi,ila kwa sasa nachoweza kufanya ni kusema HONGERA SANA!

    ReplyDelete
  3. YEAH YASINTA!
    U'RE BEAUTIFUL LADY.
    jingo

    ReplyDelete
  4. Mdala wabambu upendizi kweli kweli mlongo wangu. Rangi hii kwako ni mzuri sana. Naunga mkono msemo huu "Ukijipenda mwenyewe na wengine watakupenda". Kazi njema mlongo

    ReplyDelete
  5. Mwanawane umependeza mno nilikuwa nahitaji mamodo wa kuvaa nguo hizi kwenye African Festa wiki ijayo, kwani baada ya kumaliza African Festival sasa tunajipanga kwa ajili ya Africa Festa ambayo itafanyika May 16/17 lakini uko mbali ila style nimeipata

    ReplyDelete
  6. Dada Yasinta umependeza sana na hiyo rangi inakufaa sana,ni kweli kabisa ukijipenda mwenyewe na wengine watakupenda!!!msemo poa sana.

    ReplyDelete
  7. Nilinunua kama hizo, tena mbili nilipokuwa Arusha...
    Kuna wakti inabidi tukumbuke asili...
    Hongera dada kwa kweli you are Beautiful...
    Kwea kweli uko mzuri dada yangu......

    ReplyDelete
  8. Umesahau, ulipokuwa mdogo ulipenda kufunga kanga hivyo na ulikuwa hupendi kuvaa viatu hahah hah!
    umependeza sana kama Mr Ebo

    ReplyDelete
  9. umependeza, babu yangu aliwahi kuniambia kamba kila aina ya "mfungo" wa kanga, kitenge unatoa ujumbe fulani, kwa mfano, mkeo akitoka bafuni na kanga nyepesi anatoa ombi fulani, na kadhalika!! sijui na hii Yasinta ipo katika muktadha huo huo au la, ila nimeipenda sana, ama kweli kanga/kitenge ni kiboko

    ReplyDelete
  10. mependeza sana yasinta..nuru the light

    ReplyDelete
  11. Napenda kutoa shukrani kwa wote kwa kuzipenda picha zangu na kwa sifa mlizonipa. Mungu awabariki NAWAPENDA WOTEEEEEE:-)

    ReplyDelete
  12. u luk well nice! wud like 2 follow ya blog its very interestin n unique

    ReplyDelete