Wednesday, May 20, 2009

JINSI YA KUCHEZA NA HERUFI

NATAKA KUSEMA KWA YEYOTE YULE:-

U= Ulale

S= Salama

I = Ila

K= Kumbuka

U= Ukiamka

M= Mshukuru Mungu

W= Wako

E= Elewa kuwa

M= Mungu wako

A= Anakupenda

6 comments:

  1. Yasinta is always good to see your smile, hello dear, a caress to you.

    Marlow


    P.s.

    Must be very good desserts that you've published another post, you're also a good cook?

    ReplyDelete
  2. Nashukuru dada Yasinta, nawe pia ucku mwema.
    Hapa umeua ndege wawili kwa jiwe moja.

    ReplyDelete
  3. Asanteni wote nami nawatakia usingizi mnono na ndoto nzuri. Nimefurahia huo msemo "Hapa umeua ndege wawili kwa jiwe moja"

    ReplyDelete