mkono wa kulia huyo ni ndio mstahiki meya wa blogu ukanda wa ufini..unaweza kumwita sijui nisemeee au nisesemee? ukipenda mwite mzee wa Duh! Simoni mwana wa Kitururu..aaaa one love man
huyo pembeni yake sifahamu ni nani..naomna utujuze..
wewe unatewambia mambo ya kaka na dada hivi wote wananywere ndefu na wamevaa suruali tutajuaje jinsia zao? hivi unaweza vipi kujua jinsia ya mtoto mdogo kwa mfano?
sijui jinsia ila ni picha mbili tofauti zilizofanyiwa editing na kuwekwa pamoja. labda no mmoja kwani kote kna rasi. "in marriage two becomes one" na kwa hiyo ni mmoja na sijasema wameoana. wote si wanapumua sawa, wanakula, wanaona, wanasikia na walizaliwa? kwa hiyo ni wa moja=mmoja tu
Nasikitika kuona wengi hawawafahamu watu hawa. Ok, ila kuna wengine wameweza. Lakini ngoja niwaambia hao akina nani kushoto ni Tracy Chapman ni mwanamuziki na kulia ni kaka Simon Kitururu ambaye pia ni mwanablog:-)
KWAKWELI siwajui ila wanafanana sana nihabarishe ni akina nani ebu nimuulize Marcus niwakinanai wewe Marcus kijana mpotezu!!!!!!
ReplyDelete:-)
ReplyDeleteNamwona Kamanda Simon hapo juu kulia..lol
ReplyDeletemkono wa kulia huyo ni ndio mstahiki meya wa blogu ukanda wa ufini..unaweza kumwita sijui nisemeee au nisesemee? ukipenda mwite mzee wa Duh! Simoni mwana wa Kitururu..aaaa one love man
ReplyDeletehuyo pembeni yake sifahamu ni nani..naomna utujuze..
tutafika tu
wewe unatewambia mambo ya kaka na dada hivi wote wananywere ndefu na wamevaa suruali tutajuaje jinsia zao? hivi unaweza vipi kujua jinsia ya mtoto mdogo kwa mfano?
ReplyDeletesijui jinsia ila ni picha mbili tofauti zilizofanyiwa editing na kuwekwa pamoja. labda no mmoja kwani kote kna rasi. "in marriage two becomes one" na kwa hiyo ni mmoja na sijasema wameoana. wote si wanapumua sawa, wanakula, wanaona, wanasikia na walizaliwa? kwa hiyo ni wa moja=mmoja tu
kama si Simon basi nakupa mji
ReplyDeleteNasikitika kuona wengi hawawafahamu watu hawa. Ok, ila kuna wengine wameweza. Lakini ngoja niwaambia hao akina nani kushoto ni Tracy Chapman ni mwanamuziki na kulia ni kaka Simon Kitururu ambaye pia ni mwanablog:-)
ReplyDeleteNimechelewa. Mkodo nshamfahamu mapema. Huyo mwingine nshahisi wewe kumbe nilikuwa buuuuu.
ReplyDeleteKaka Bwaya! we si wa kwanza kuna wengi pia wameniambia nimefanana naye kwa hiyo kama ni hivi nimefanana na Mkodo. Lol
ReplyDeletehawafanani. Ila wamevaa makoti na wana rasta. pua, meno, macho, masikio tofauti. au siku hizi kufanana ni nguo na nywele?
ReplyDelete