Friday, April 10, 2009

UJUMBE WA LEO IJUMAA KUU NI:-

Yesu Kristo mwenyewe alichukua dhambi zetu katika mwili wake msalabani, tupate kufa kuhusu dhambi, na kuishi kwa ajili ya uadilifu. Kwa majeraha yake niny mmeponywa (1 Pet 2:24)

Na pia tukumbuke kuwa:-
Kuna mungu mmoja na baba wa wote ambaye yuko juu ya wote, afanya kazi katika yote na yuko katika yote. Waefeso 4:6

12 comments:

  1. Amina,na amina,nawatakieni ijumaa kuu njema,
    Barikiweni.

    ReplyDelete
  2. Pasaka njema kako Dada na familia nzima.

    ReplyDelete
  3. Sisi huku Austriia, tutakuwa na misa ya kiswahili nyumbani na Father Mcha Mungu ndio atakayetuongozea ibada yetu. Mungu awabariki sana. Pasaka njema

    ReplyDelete
  4. ma sory sir,i am a question sir.! no! I mean I have a question.

    kama yesu alichukua dhambi zenu, kwa nini siku inayooitwa ya mwisho kuna hukumu na adhabu? si aliishazifia? wanaotwambia hukumu na adhabu ni waongo?

    samahani ila ijumaa njema ya ki...

    ReplyDelete
  5. Tunashukuru (kwa niaba ya familia) na mimi nawatakiei wote ijumaa kuu njema, nitakuwa mjini mpaka j3 ya pasaka halafu ndio nitarudi mashambani, jamani huku ni msimu wa mvua kwa hiyo wakulima tunapotea mjini kwa muda

    ReplyDelete
  6. Pasaka njema kwa wote,pamoja na falia,Amani kwa kila mtu na tusherekee kwa upendo na furaha.

    ReplyDelete
  7. PASAKA NJEMA KWAKO NA FAMILIA YAKO. BWANA AWE NAWE DAIMA!!!

    ReplyDelete
  8. Pasaka njema,
    tena ilo jaa NEEMA,
    za Mungu zake BARAKA,
    ya Mungu yake FARAJA,
    zote zake ZAWADI,
    katika kipindi cha pasaka,
    AMANI, UPENDO na IMANI thabiti viwe nanyi daima.

    ReplyDelete
  9. Heri ya Pasaka nanyi wooote na wapeni wengine wote muwaonao na mtakaokutana nao.

    ReplyDelete