Monday, April 20, 2009

NGOMA YA MGANDA YA KUNYUMBA "LIVE"

Mwenzenu leo nimefurahi kweli kuona ngoma hii"live" Yaani angalia hizo stepu raha sana. Picha hii nimeichukua toka kwa kaka MICHUZI http://issamichuzi.blogspot.com

6 comments:

  1. Yasinta, hii ni ngoma ya Uganda au ya huko kwenu Kusini? Vyo vyote vile, utamaduni huu unakufa na kizazi kipya kinauona kuwa uliopitwa na wakati. Ni vizuri tukazihifadhi ngoma hizi kabla hazijatokomea kabisa!

    ReplyDelete
  2. Kwa mimi nijuavyo asili yake ni kweyu kusini na Wamanda ndio wenyewe kabisa. Ni kweli hizi ngoma zote za asili sasa zinakufa. Inabidi kweli sisi wakongwe tukazane kuwaonyesha na kuzihifadhi ili zisipotee. Najaribu kuweka au kuwakumbusha aina mbalimbali za ngoma za asili. Kwani binafsi najivunia sana asili yangu na utamaduni wangu.

    Kama kuna ngoma unapenda niweka naomba uniambie.

    ReplyDelete
  3. weka Lizombe, Chitoto, Chihoda, Chomanga, madogori

    ReplyDelete
  4. Mlongo ukunikumbusha kutali sana, mjomba wangu anakaa dar wao pia wanakikundi chao cha Mganda pale kulasini malanyingi hucheza kwenye shelehe mbali mbali ni ngoma mzuri sana, Tatu nane walijalibujalibu miaka ya nyuma kucheza hii ngoma kwa kuchanganya na musiki wa dansi.Ja, hawa ni wamanda lakini wote ni wakusini walongo vetu. Ni kweli Mr Masangu anavyosema kwakweli watanzania tusipoangalia, Utamaduni wetu upo hatalini.

    ReplyDelete
  5. Mwe wa kunyumba wovina makola chomene. Yewo wa Yasinta. Zikomu wa Yasinta. Asante sana Yasinta.

    From UK

    ReplyDelete
  6. Mama weka youtube hi kitu
    Mganda powa sana

    ReplyDelete