Sunday, April 19, 2009

JE? UMEGUNDUA HAPA NI NINI KATIKA PICHA HII?

Siku hii ilikuwa ni siku ya kupita kwa ustadi ili hii picha isianguke. Na kulikuwa hamna amani kwani ilichukua siku nzima. JUMAPILI NJEMA KWA WOTE!!!

7 comments:

  1. Jumapili njema kwako pia Dada Yasinta!

    ReplyDelete
  2. J'pili Njema Yasinta... Simon Lini utatia timu Tre?

    ReplyDelete
  3. ni karata hizo zimepangwa! donika njema na wewe

    ReplyDelete
  4. beautiful the house of cards, it takes a lot of patience and steady hand, hello dear

    Good start week, Marlow

    ReplyDelete
  5. Kazi nzuri. Huyo dogo kama alikuwa muhusika katika upangaji wa karata hizo basi anasitahili pongezi.

    ReplyDelete
  6. Simon, Kibunango na usiye na jina asanteni dominika yangu ilikuwa safi namshukuru Mungu.

    Ivo Serentha and Friends thank you, and yes it is takes a lot of patience.

    Kaka Bwana umepata kabisa ni kweli muhusika ni yeye aliyekaa hapo kwa hiyo mpe tu hizo pongezi.

    ReplyDelete
  7. Mimi nilifikiri dogo anajaribu ku-pruvu Pythagoras theorem!

    ReplyDelete