Tuesday, April 14, 2009

JINSI YA KUBEBA WATOTO KWENYE TOROLI AU MGONGONI (2)

Angalia hapa mtu unakuwa huru na pia umnaweza kutumia mikono kufanya kitu kingine.

3 comments:

  1. Toroli linakuwa zuri kwenye nchi za wenzetu ambako pia kuna miundo mbinu ya kuendeshea hilo toroli, lakini pia linafaa uwe na usafiri binafsi kuepuka adha anayokutana nayo huyu dada kwenye mabasi
    Kwa hapa nyumbani mwendo mdundo kwa kubeba mtoto mgongoni kwa sababu hicho kitoroli hakina hata sehemu ya kuendeshea, ingawa ni rahisi sana kubeba mtoto kwenye toroli.

    ReplyDelete
  2. Mimi napenda zaidi kubeba mgongoni hasa unapotaka kupika na kufanya kazi nyingine mikono inakuwa huru

    ReplyDelete
  3. Mtoto anatakiwa kuanza kubebwa mgongoni kuanzia umri gani?.

    ReplyDelete