Huyo jennifer anaonekana anapenda kubeba watoto kwa vitololi. Uzuri wa vitololi nishati ya kubeba mtoto kukinzana na gravitation force ni ndogo kuliko ya kubebea mgongoni.kwenye kitoroli gravitation force inahamia kwenye chombo hicho. mgongoni mtoto anakuwa sehemu ya wewe, na pengine mgongoni kunauonyesha ukaribu na undungu na mtoto mhusika.
Kama alivyosema Mwaipopo hapo juu, kumbeba mtoto mgongoni kuna mfanya mtoto awe karibu na mama/baba yake lakini kasoro ninayoiona ni kwamba mtoto hawi huru(kwani anakuwa amebanwa na kanga) kama anavyokuwa kwenye kitoroli.
your blog is so good
ReplyDeleteThank your Jennifer and you are so welcome here
ReplyDeleteHuyo jennifer anaonekana anapenda kubeba watoto kwa vitololi. Uzuri wa vitololi nishati ya kubeba mtoto kukinzana na gravitation force ni ndogo kuliko ya kubebea mgongoni.kwenye kitoroli gravitation force inahamia kwenye chombo hicho. mgongoni mtoto anakuwa sehemu ya wewe, na pengine mgongoni kunauonyesha ukaribu na undungu na mtoto mhusika.
ReplyDeleteKama alivyosema Mwaipopo hapo juu, kumbeba mtoto mgongoni kuna mfanya mtoto awe karibu na mama/baba yake lakini kasoro ninayoiona ni kwamba mtoto hawi huru(kwani anakuwa amebanwa na kanga) kama anavyokuwa kwenye kitoroli.
ReplyDelete