Picha hii imenivutia sana.Mimi nauona mduara mruri uliojengwa na miguu ya watoto hawa.kuna ninaowaona wako kwenye tafakari fulani hivi, kama vile wanamsubiria mwenzao atakayekaa katikati ya mduara na kuongea nao. Naomba kuhoji kitu fulani. Huu ni ubunifu wao kweli au ni utamaduni ktk jamii watokako watoto hawa?
Wanafalsafa na wanahisabati wanasema kwamba duara ndiyo "perfect body". Zitazame sayari, zitazame mbingu, tazama. Falsafa ya Kiafrika pia inasema kwamba Mwafrika hafi bali daima yumo kwenye mduara ambao hauna kikomo. Kwa mantiki hii hakuna mwanzo na hakuna mwisho. Watoto hawa wanaweza kuwa hawana viatu, na kwa mtazamamo wa Kimagharibi wanaweza kuonekana masikini lakini kuna ujumbe mkubwa katika picha hii. Ngoja niachie hapo, pengine mwanafalsafa Kitururu atachanganua zaidi.
Kweli watoto huwa ni wabunifu sana,hii picha ni nzuri sana nimeipenda,ombi kwako Yasinta naomba niitumie kwenye blog yangu kama hutajali,imenivutia sana.
Asanteni wote, ngoja nami nitoe maneno mawili matatu. Ni kwamba watoto ni watu wabunifu sana.Ni wengi watoto kama wanafanya kitu basi wanawakatalia kwa kweli inabidi tuache tabia hii na kuwaacha na tuone nini kitatokea.Na pia ni kweli inawezekana ni utamaduni wanasubiri babu au bibi aje na kuwasimulia hadithi
Picha hii imenivutia sana.Mimi nauona mduara mruri uliojengwa na miguu ya watoto hawa.kuna ninaowaona wako kwenye tafakari fulani hivi, kama vile wanamsubiria mwenzao atakayekaa katikati ya mduara na kuongea nao.
ReplyDeleteNaomba kuhoji kitu fulani.
Huu ni ubunifu wao kweli au ni utamaduni ktk jamii watokako watoto hawa?
mimi naona volcano. watoto wametengeneza sura ya mduara unaotengenezwa na mlipuko wa volcano.
ReplyDeleteaisee. siku zote usimkemee mtoto, mwache ajaribu, mohoji anafikiri nini. wanesema ubunifu umejaa kwenye akili zao
ReplyDeleteWanafalsafa na wanahisabati wanasema kwamba duara ndiyo "perfect body". Zitazame sayari, zitazame mbingu, tazama. Falsafa ya Kiafrika pia inasema kwamba Mwafrika hafi bali daima yumo kwenye mduara ambao hauna kikomo. Kwa mantiki hii hakuna mwanzo na hakuna mwisho. Watoto hawa wanaweza kuwa hawana viatu, na kwa mtazamamo wa Kimagharibi wanaweza kuonekana masikini lakini kuna ujumbe mkubwa katika picha hii. Ngoja niachie hapo, pengine mwanafalsafa Kitururu atachanganua zaidi.
ReplyDeletePicha imenivutia sana da Yasinta. Watoto wameiweka miguu yao kwa namna ya kupendeza hata kutengeneza duara.
ReplyDeleteKweli watoto huwa ni wabunifu sana,hii picha ni nzuri sana nimeipenda,ombi kwako Yasinta naomba niitumie kwenye blog yangu kama hutajali,imenivutia sana.
ReplyDeleteKweli watoto ni wabunifu.
ReplyDeletewatoto nimewapenda sana!Wamejitahidi sana kubuni!Kwani mduara ni mzuri kama ni wenyewe wamebuni basi nawapa pongezi!
ReplyDeleteAsanteni wote, ngoja nami nitoe maneno mawili matatu. Ni kwamba watoto ni watu wabunifu sana.Ni wengi watoto kama wanafanya kitu basi wanawakatalia kwa kweli inabidi tuache tabia hii na kuwaacha na tuone nini kitatokea.Na pia ni kweli inawezekana ni utamaduni wanasubiri babu au bibi aje na kuwasimulia hadithi
ReplyDeleteusengwili sana, picha ya mwina sana.
ReplyDeletenimeipenda sanaaaaaaa
ReplyDelete