Sio mchezo, yaani umenikumbusha nyumbani kabisa. wali kwenye sinia, au makande, au mdojolela, halafu wote tunauzunguka na kuanza kuushambulia mpaka uishe. hapo ni kasi yako tu ya kumega au unaweza kuwa unamega taratibu ila kwa uhakika (tonge kubwa). Katika picha kuna kanuni moja ya kingoni imekiukwa!! siitaji kwa sasa nadhani Yasinta utakuwa anaikumbuka vizuri kabisa!! na kama utakuwa umeisahau basi nakupa kidokezo, kuna watu wawili ambao wameivunja hiyo kanuni hapo!!
fferisDada Yasinta Habari za Lihengu, Ahsante kwa msosi, unanikumbusha nilipoenda upareni kwa bibi yangu tulikuwa tunakutana wajukuu na msosi ulikuwa ukiliwa kwa mduara kama hapo kwenye hiyo picha.... ha ha haaaaaa...... wa kulitumbandyosi
Sio mchezo, yaani umenikumbusha nyumbani kabisa. wali kwenye sinia, au makande, au mdojolela, halafu wote tunauzunguka na kuanza kuushambulia mpaka uishe. hapo ni kasi yako tu ya kumega au unaweza kuwa unamega taratibu ila kwa uhakika (tonge kubwa).
ReplyDeleteKatika picha kuna kanuni moja ya kingoni imekiukwa!! siitaji kwa sasa nadhani Yasinta utakuwa anaikumbuka vizuri kabisa!! na kama utakuwa umeisahau basi nakupa kidokezo, kuna watu wawili ambao wameivunja hiyo kanuni hapo!!
fferisDada Yasinta Habari za Lihengu,
ReplyDeleteAhsante kwa msosi, unanikumbusha nilipoenda upareni kwa bibi yangu tulikuwa tunakutana wajukuu na msosi ulikuwa ukiliwa kwa mduara kama hapo kwenye hiyo picha....
ha ha haaaaaa......
wa kulitumbandyosi
We usiye na jina wa pili na nani hao wawili waliovunja sheria katika picha hiyo?
ReplyDeleteKoero, nakuambia kuwa wengi katika ukoo ni raha sana.
mhh, hao wavulana!! nafikiri umeshapata jibu kwanini nasema wamevunja kanuni ya heshima za kingoni wanapokula!!
ReplyDeleteOohh! sasa nimegundua na sio tu heshima ya kingoni hata hapa niishipo sasa haitaki. Hapo nilijisahau sana huwa nakumbuka au mkumbusha
ReplyDelete